....Sasa wakati wewe unategemea mood wenzako since January of the year wanawaza na kujipanga kwenda Fiesta.Kutokana na mood nitakayo amka nayo naweza kuwa kijana babu au mtoto kinazaria.
....Sasa wakati wewe unategemea mood wenzako since January of the year wanawaza na kujipanga kwenda Fiesta.




Kudadadeki.Makongamano km ayo ndio huwa sinaga nayo nyege bora pesa angu ninywe mznga ndani kwangu.
Watu wanavyoshadadia ndo siwaelewi kabisaaisee, katika hili tunafanana..,hata mimi sijawahi kuona jipya,...
Usingizi MkuuStarehe yako nini?
HahahaNitakuja tulale wote na mimi napenda sana usingizi