Fiesta Kufanyika Hadi Asubuhi....?

Fiesta Kufanyika Hadi Asubuhi....?

RRONDO

Platinum Member
Joined
Jan 3, 2010
Posts
57,849
Reaction score
129,775
Nimesikia leo kwenye kipindi cha Jahazi na Amplifier kwamba Fiesta itafanyika hadi asubuhi.
Kibonde alisema 'asalam aleykum mh Magu kwa kauli mbiu hapa kazi tu' kwamba bandarini watu wanapiga kazi mpaka asubuhi na Fiesta ni kazi hivyo itapigwa mpaka asubuhi!
Je ndio kusema ruhusa imetoka juu?
 
Chama la wana
 
Kama ni kweli basi hiyo ndiyo tafsiri ya kuwa Mtoto wa Mjini au umuhimu wa connection.

Nimekumbukwa riwaya ya Animal farm
 
Kwa jinsi Kibonde alivyokuwa anaponda kumaliza saa sita, na jinsi alivyokuwa anasisitiza hapa kazi hii ruhusa imetoka kwa boss...
Kama ni waliponda hivyo basi itakuwa boss katoa ruhusa
 
Ila inashangaza sana kuona tamasha la muziki linakuwa jambo kuubwa! Ila ndio bongo hii kama mtu alievuruga mnada annanza kualikwa kufungua vyuo unategemea nini!!
 
Back
Top Bottom