Kiukweli Fiesta wamezingua sana tena sana, hakukua na chochote zaidi ya kelele, tukubali tu kua kuna wasanii wa live band na matamasha yao, sio kila msanii anaweza/anapendeza kupiga live band na sio kila tamasha ni la kupiga live band.... wanapaswa wajitafakari upya na kufuta makosa yao, kuiga iga sio kuzuri, vyombo vibovu, back vocal wabovu au sijui walichoka maskin ya Mungu wangekua hata wanawabadilisha.
SHAME.