Luqman mohamedy
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 899
- 1,239
Baada ya Feza Kessy na Koyo
Sasa ni Nerd Muzik
Kwa raha hizi tulizoea wana Dar es salaam halafu mkolomije mmoja asingeweza kutuzuia
Mpaka kokorikooo [emoji215][emoji215][emoji215][emoji215]
[emoji482][emoji482][emoji482][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481][emoji481]
Ndio wewe nini hapo mbele na hiyo kofia ya rangi ya...
😀😀😀
Usisahau kuacha kumuongelea hivyo.. sio vizuri.
Hahahaha [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umeniona eehh nipo "fonti fedi" kabisa
Ndio nini hiyo?
Vijana acheni starehe, fanyeni kazi kwa maendeleo ya Taifa letu.
Umemjib Vzr Huyu Kiumbe Kias Kwamba Najiuliza Maswali Ambayo Bado Sijayapata MajibuNdio wewe nini hapo mbele na hiyo kofia ya rangi ya...
😀😀😀
Usisahau kuacha kumuongelea hivyo.. sio vizuri.
Umemjib Vzr Huyu Kiumbe Kias Kwamba Najiuliza Maswali Ambayo Bado Sijayapata Majibu
Hawa jamaa unaweza ukawatukana ukapata ban ya maishaCLouds TV wamekula buku 3 zetu then wanaonesha sebule ya Gadner badala ya show, pambaffffffffffffff
Mrembo upo sahihi kabisa hawa wasanii wa mwanzo wote ni mashudu tu hamna kituSijui ndio uzee mbona hawa walioanza kuimba nyimbo mbayaaaaa