Fiesta Bukoba: Wasanii wawasili bila Diamond

Fiesta Bukoba: Wasanii wawasili bila Diamond

HarakatiNews

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
218
Reaction score
187
Wapenzi wa burudani na wanazi wa tamasha la Burudani lililopewa Jina la Serengeti Fiesta linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kaitaba kesho ijumaa,wamepigwa na butwaa baada ya mastaa kibao wa mziki kuwasili katika uwanja wa ndege wa bukoba bila staa wa mziki wa kizazi kipya Nasib Abdul a.k.a Diamon Platnumz .
proxy.jpg


Hapo juu ni baadhi ya wasanii baada ya kuwaili bukoba

Chanzo:HARAKATINEWS BLOG:
 
Siku hiyo yatakiwa watu wamuabudu Mungu wao ila shetani akishilikiana na Clouds wanamuabudu shetan
 
Hivi hayo maglass huko usoni yabasaidia nin?? Utakuta mtu kavaa hata kama yupo sehemu yenye kivuli.
Ulimbukeni
 
wenyewe wanasema fiesta ina elimisha jamii kumbe huko ni pombe kwa sana na kupeana mikasi...
 
Hivi hayo maglass huko usoni yabasaidia nin?? Utakuta mtu kavaa hata kama yupo sehemu yenye kivuli.
Ulimbukeni

si bora hata kwenye kivuli, hao wanavaaga mpaka usiku!!"

Grand PA
 
Wananchi wote wa mkoa wa Kagera tushilikishe faida ulizo pata ujio wa fesita

Duh! Kazi kweli kweli kama hujui si uulizwe inaitwaje?!!!!!!!!!!!!!!! Kuanzia kwenye kichwa cha habari
 
Back
Top Bottom