unasoma mechanical degree au diploma kuwa specific bwana mdogo peleka hizo barua pale iptl wanatoa ya chai ya uhakika jaribu na aggreko ila ukipeleka uwe serious kufuatilia coz wanatoa kumi per day kwa hiyo competition ni kubwa
aggreko wako ubungo plaza ndio kuna ofisi yao pale..nipeufafanuzi bro kuhusu AGGREKO ipo dar au? na wanahusika na nini hasa pia unaweza kunisaidia anuani zao nitume
aggreko wako ubungo plaza ndio kuna ofisi yao pale..
pia wana plant ubungo nyuma ya KIBUKU na pia wanayo TEGETA ..nenda physical yaani moja kwa moja ofisini peleka barua yako..
Unasoma mechanical ya chuo kipi??