Sio lazima uvutiwe na mtu siku ya kwanza mnaonana. Labda uniambie hata kuwa rafiki na mtu ambae hakuvutii kisura na asiye na pesa kwako ni mwiko. Kama sio mwiko basi ndani ya urafiki wenu ndio utajua ni mtu wa aina gani, sio lazima mkutane kama vivuli.Good values, good morals.
Nina wasi wasi wengi watasema hivi sababu sio rahisi kusema kua utachagua pesa, umbo na sura.
Ukweli ni kwamba mtu huwezi kuvutiwa ghafla na mwanaume maskini, mwenye umbo na sura baya. Labda mlikutana internet na umesha ziona values zake?
Ila ukifikiria sustainability, relation haiwezi kujengeka kwa kufata hayo tu. lazima na values zichunguzwe.
Mi ntachagua SGGs..the latter..strong values,good manners,good morals Lizzy.. Ila upatikanaji sasa ndo kimbembe..
Mi nimesha sema kwanza kabisa ni values, morals na maners. maana hata mtu wa pesa, umbo na uso akikosa hivyo vitu sioni atakuaje rafiki au mpenzi wangu. Hata sipati picha. Ila pia kama mtu ni mbaya wa uso itachukua muda kidogo kabla ya kuanza kufikiria kua tunaweza kua wapenzi. nitampenda kama rafiki. with bidii yake and time spent together - longer time and more effort kuliko yule mzuri wa sura na umbo- naweza kuja kumpenda. hayo ya pesa yanakuja mwisho.Sio lazima uvutiwe na mtu siku ya kwanza mnaonana. Labda uniambie hata kuwa rafiki na mtu ambae hakuvutii kisura na asiye na pesa kwako ni mwiko. Kama sio mwiko basi ndani ya urafiki wenu ndio utajua ni mtu wa aina gani, sio lazima mkutane kama vivuli.
Mi nimesha sema kwanza kabisa ni values, morals na maners. maana hata mtu wa pesa, umbo na uso akikosa hivyo vitu sioni atakuaje rafiki au mpenzi wangu. Hata sipati picha. Ila pia kama mtu ni mbaya wa uso itachukua muda kidogo kabla ya kuanza kufikiria kua tunaweza kua wapenzi. nitampenda kama rafiki. with bidii yake and time spent together - longer time and more effort kuliko yule mzuri wa sura na umbo- naweza kuja kumpenda. hayo ya pesa yanakuja mwisho.
In the end that's what we really need. . ila sasa vipaumbele ndio tatizo.sura nzuri, pesa, na ' stong values, good manners, good morals'.....a little bit of both to be honest....!
ila morals na good manners come first especially kama namuwazia kuwa mume na baba watoto wangu!
mie pesa kwanza sura last lol,tena pesa sio ulizonazo sasa hivi bali kama una mipango endelevu ya kuwa nazo lol...wanangu wasije wakateseka na uhandsome wako!!!lol
Mi nimesha sema kwanza kabisa ni values, morals na maners. maana hata mtu wa pesa, umbo na uso akikosa hivyo vitu sioni atakuaje rafiki au mpenzi wangu. Hata sipati picha. Ila pia kama mtu ni mbaya wa uso itachukua muda kidogo kabla ya kuanza kufikiria kua tunaweza kua wapenzi. nitampenda kama rafiki. with bidii yake and time spent together - longer time and more effort kuliko yule mzuri wa sura na umbo- naweza kuja kumpenda. hayo ya pesa yanakuja mwisho.
So far, pamoja kabisa. nadhani nimekusoma sasa.Mpaka hapo inawezekana ukamjua/fahamu mtu kiundani bila kujali muonekano wake na mfuko una kiasi gani uraiani, na sio lazima kila mmoja awe amejificha nyuma ya PC. Tuko pamoja.
Huyo hapo anakusoma. Good night Sissy, and be good. lolSame here...lol....usiku mwema Mwali, see you....niagie Lizzy,mwambie naenda enforce good morals....!
Haya mambo tumeyakuta na ingawa hatulazimishwi kuyashiriki,ila zaidi hayakwepeki,
mie kwa upande wangu nnachukua sura nzuri,umbo na pesa,kwani hata ktk maandiko wanavikubali hiv vitu na ni kama baraka,
watu hawaaminiki awe ni mtu ambaye mzuri au mbaya, zaid ni kujipanga tu bila kumtegemea mtu,ikitokea sawa,
Yani kwenye jamii yetu kumpata mwenye pesa ni rahisi kuliko kumpata mtu ambae ana"strong values" "good morals" na ni "well mannered". Na ukisema unatafuta mwenzi wa aina hiyo watu watakushangaa kuliko ukisema unatafuta mtu wa kumchuna a.k.a ATM , tena zinazotembea. . lolz.
Swali : WEWE ukiambiwa uchague kati ya 'sura nzuri, pesa, umbo la kupindisha shingo za wake kwa waume' na ' stong values, good manners, good morals' utachagua kipi?
Mi bora niseme shared morals and values kati yake na mimiNaona hapo kwenye red inatofautiana kutoka eneo moja hadi jingine
Hapa kuna western morals and values na african morals and values.
Nitachagua mwanamme mwenye african morals and values kuliko hivyo vingine.