Mpwa mwambie Xpin yule babu alivyo ondoka alivyo tulia na totoz.
Hahaha! Nusura wapwa wazipige walipokaona. Njoo kwenye get tugedha jumamosi ushuhudie mwenyewe.Mi najua tu yale macho yanayodondoka ndio yanayokupa tabu Mpwa
Hivi na yule mwenye muonekano wa Kimbulu jina lake nani tena? Tatizo majina huwa yananipa tabu
angalizo tafadhali
Mi najua tu yale macho yanayodondoka ndio yanayokupa tabu Mpwa
Hivi na yule mwenye muonekano wa Kimbulu jina lake nani tena? Tatizo majina huwa yananipa tabu
dah mpwa nakwambia nchi hii eti kuna wakati vijana watashika hatamu? wazee wanakaba hadi penati, sasa kama yule babu jana kale si kajukuu kabisa mpwa!
Mmmh! Hilo jina tu linafanya uanze kumuepuka mapema kabla ya kupanda mbegu kwenye miibawa kimbulu atakuwa 'Deci'
just did it again(ina maana hufanya hivyo mar akibao sema leo tu nguli alinichunia na alijitangazia ubachela, nafasi yangu kwake sikuielewa tena)
Hahahahaha mm aliniacha hoi yule mzee alivyo anza matachingi alafu mtoto analetewa Ndovu kwangu wananiambia zimekwisha ufisadi hadi kwenye vinywaji nchi hii tuione hivi hivi.
Mmmh! Hilo jina tu linafanya uanze kumuepuka mapema kabla ya kupanda mbegu kwenye miiba
Ndo kusema, kuwa baada ya hapo uko single..effectively.....lol
unanitafutia mengine sasa...ndugu mwandishi kwa sasa sina komenti
Kwani ukisema upo occupied heshima itapungua mama Nguli?
Nyie mabinamu huyu Anna ni nani?????????????????????
hapana
Sasa tatizo nini haswa?au unaogopa uligendi?
Binamu mbona hakuna picha.
Nguli hii style gani ya ufungaji mkanda? Umefunga kiti au umefunga nini hapa wapwa nisaidieni.
Nguli hii style gani ya ufungaji mkanda? Umefunga kiti au umefunga nini hapa wapwa nisaidieni.