Fidel80 & geof be serious!

NGULI

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2008
Posts
4,801
Reaction score
657
Usinywe na uendeshe tukutuku be serious pulizi Tutumie breki za mbele na nyuma.

TUMWIGE ZD

Attachments

  • 4-21-02_a.jpg
    12.5 KB · Views: 212
  • 4-21-02_b.jpg
    12.7 KB · Views: 211
  • 4-21-02_c.jpg
    11.8 KB · Views: 208
  • avatar ya gari.gif
    25.9 KB · Views: 214
hayo ndo nloyakataa jana!!!
 
Nasisitiza matumizi ya breki kwenye vyombo vya chuma
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana😀
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana😀

Habari nilizozipta hapa O pub ni nyinyi ila mlikuwa na helmeti.
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana😀

Is it so?

Kumbe mambo yanaenda kinyume kiasi hicho!
I was thinking otherwise!

All in all, guys be careful out there... We still have a dream to see you in reality!
 
hahahaaaaaa, mpwa ilikuaje hapo?.
hivi tukutuku breki ziko mbele au nyuma???
 
Hahahaaa.Nguli bana,kwa raha zetu na maji makuuuubwa ya Kilimanjaro.Mungu atupe nini,faida kibao tunapata
 
huyo naona alikuwa hajanywa!ukinywa huwezi kuwa unserious kiasi hicho bana😀

You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent
 
You can say it again. Hapo jamaa alitaka kupiga breki za nyuma zikagoma. Hahaha! Kale ka nyumba ka kusimamia kakawa absent

Umesahau na pickup haikuwepo mabenzi sio magari kbsa
 
Hahahahaa, well said shem! Haya mapickup ya Tarakea /Rombo Balaa!

LOL! Tena liwe limesheheni pipa 12 za mbege ya x-mass! Wacha kabisa! Hahaha! You have made my day mchumba. Nimelazimika kukugongea na senksi.
 
I save water by drinking some few bottles of cold beer.
 
tukutuku linakuwa tamu ukiwa kinywaji!(akkodingi tu papaa😀)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…