Fidel Castro:Mbuyu uliowashinda wamarekani

sulphadoxine

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,257
644
CIA ilichemka mara 643 kumuua rais huyu
Rais wa 3 duniani kukaa muda mrefu kwenye madaraka
Avunja rekodi kuhutubia saa 7 bila kupumzika.
 
CIA ilichemka mara 643 kumuua rais huyu
Rais wa 3 duniani kukaa muda mrefu kwenye madaraka
Avunja rekodi kuhutubia saa 7 bila kupumzika.

Castro JEMBE la ukweli,...aliwahi kuwaambia hao cia na walamba viatu wenzie risasi ya kumuua yeye bado halijatengenezwa,....yes_we need leaders like castrol.
 
Ni kiongozi mwenye msimamo,siyo kama wakwetu wanao omba omba nchi za ulaya,
wakati tuna mali asili nyingi tunawapa bure then wanaenda kuomba.(it does nont make sense)
 
ni kweli huyu ni kiongozi shupavu, anapaswa kuigwa na viongozi wa afrika, ambao kwa ujumla wapowapo tu hata hawaeleweki wanalofanya.
 
Hapa issue sio kwamba wameshindwa kumuua, sidhani ..issue ni kwamba walishindwa kupenetrate na kuweka 'contras' maana makachero wa Castro are very effective. Kumuua tu bila ya kuweka watu wao ingelisababisha chaos zaidi na maelfu ingebidi kuhamia Florida kama wakimbizi. Nways, huenda pia wameona mradi wenyewe wa kumuondoa Castro au Cuba kwa ujumla haulipi so why bother?
 
Back
Top Bottom