FID Q - Walk it Off [VIDEO]

MAMA YANGU WEEEH, JOH MAKINI IS DEAD ONCE AGAIN.......
ASANTE FID KWA KUNIONYESHEA KUA YULE DOGO JOH HANA LOLOTE KWENYE UKALI WA HIP HOP HAPA BONGO PALE UNAPOTAJWA WEWE
joh makini katulia zake huko hakuna aliyemtaja hapa, mbona unamuwaza sana jamaa?
 
Kitu bora tunaona mziki wa hip hop unaanza kusogea international kwa kasi + tanzania music kwa ujumla. back to topic Fid Q & Taz tisha sanaaa..But fid vs joh, hawa watu wanafanya Hip hop tofauti kidogo mmoja commercial mwengne nguma sana na kila mmoja ni best kwenye aina anayofanya. AM WAITING BEST collabo btn Fid Q ft Sarkodie and joh Makin ft Cassper Nyovest. wajaribu kufanya hii kitu
 
Mimi shabiki wa huyu mtu napenda sana flow ya Fid Q
 
Flow nzuri, beat nzuri, video Kali ila maneno ya kiingereza hayasikiki vizuri ni kama anajibana hivi anapoimba kimombo
Angepiga full swahili, kingereza chetu cha kata kinaharibu nyimbo.
Nakuunga mkono, anajibana na anatumia nguvu sana sehemu za kimombo ktk wimbo.
 
MAMA YANGU WEEEH, JOH MAKINI IS DEAD ONCE AGAIN.......
ASANTE FID KWA KUNIONYESHEA KUA YULE DOGO JOH HANA LOLOTE KWENYE UKALI WA HIP HOP HAPA BONGO PALE UNAPOTAJWA WEWE
Bado sana kumkuta Joe Makini, aanze kwanza kuipangua XO, akiifikia DONT BOTHER, Makini atakuwa kamaliza kila kitu. Hip hop ya Fid Q ia dead, modern hip hop ni ya Makini. Huo ndo ukweli.
 
Bado sana kumkuta Joe Makini, aanze kwanza kuipangua XO, akiifikia DONT BOTHER, Makini atakuwa kamaliza kila kitu. Hip hop ya Fid Q ia dead, modern hip hop ni ya Makini. Huo ndo ukweli.
hahahaha joh makini hawezi mfikia.fid q bana.sema wengi mnachanganya hawa watu wanafanya hip hop tofauti kabisaa na ndio maana mtazidi kuchanganya na kuona joh ni bora kuliko fid q.

fid Q anafanya hip hop ngum sanaaa. na kumwelewa na ngum sana vile vile.fid Q ni kama mpoto
 
Sisi mashabiki mara zote ndo tunaanzisha malumbano baina ya msanii mmoja na mwingine, hapa mleta mada kaweka video mpya ya Fid Q, hajasema kuwa ni nani mkali kati ya Fid na Joh...hawa watu kila mmoja ni bora kwa kile abachokifanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom