FID Q - Walk it Off [VIDEO]

FID Q - Walk it Off [VIDEO]

hahahaha joh makini hawezi mfikia.fid q bana.sema wengi mnachanganya hawa watu wanafanya hip hop tofauti kabisaa na ndio maana mtazidi kuchanganya na kuona joh ni bora kuliko fid q.

fid Q anafanya hip hop ngum sanaaa. na kumwelewa na ngum sana vile vile.fid Q ni kama mpoto
Ndio maana ana watu wachache, anaimba ngumu ili iweje? Keep it simple!
Natambua kua wako tofauti, na ndio maana nimesema ile hip hop ya wagumu is dead and buried, Nas na Jay Z walishaizika kama 8 years ago.
 
"am on ma own level sihitaji kwenda next" Joh Makini

Joh hataki kufananishwa na mtu,nadhani Fid pia hapendi mashabiki kazi yetu iwe kuenjoy good music
 
Hajamfikia One The Incredible.

kiranga mziki unaujua NICE.....ukitazama kwa jivho la kujua mziki utagundua watu wana wasahau sana VIJANA WA TAMADUNI MUSIC......pata kuisikia One incredible ft Damian soul-Ne yeye
 
kiranga mziki unaujua NICE.....ukitazama kwa jivho la kujua mziki utagundua watu wana wasahau sana VIJANA WA TAMADUNI MUSIC......pata kuisikia One incredible ft Damian soul-Ne yeye
One the incredible anaandika lyrics zenye ukakasi fulani wenye originality.

Fid anajaribu kuwa Guru wa Tanzania.
 
Naona mtu mzima nae kasombwa na mafuriko rasmi duh huwezi kua nunda kwa muda mrefu wakati wenzio wanaenda kimataifa,bonge la kichupa,bonge la mdundo ila nasikia sauti ya Ngosha kwa dakika 2:52 tu mashairi sio yake hajataka kujichosha wala kutuumiza kichwa kama zamani.
Ukurasa mpya wa video kali na swagga ili wallet ivimbe kwa heri Fid Q kuna wenzio wachache nao manunda najua waliko wanajiuliza kama wakomae au nao wakufate maana kuonekana MTV,Trace nk ndio kipimo cha ngoma kali siku hizi jamaa wanatuburuza sana nawaza tu na njaa zangu hapa.
 
Wimbo mkali na video kali ila fid q kaniboa kitu kimoja tu. Anachana mistari kwa sekunde 24 kila verse. What a bummer!
 
Walk it off

Video bora ya HipHop duniani kwa huu mwaka.
Mahaba mabaya.. Mwaka ndio kwanza umeanza, ay, Fa, Makini, Weusi, na wengine kibao hawajafanya yao then unasema Ni video bora ya mwaka DUNIANI... "Nakataa, Hata Mungu Anashangaa"
 
Ongeeeni sana!
Lakini Ngosha atabaki tu kuwa king hapa Bongoland.
Kill yourself if you ain't feelin him.
Fid Qadiggo ndiyo Rapper best.
Mkuu Kadgo si msanii mwingine?..Au hiyo ni a.k.a nyingine ya Ngosha?
 
Ongeeeni sana!
Lakini Ngosha atabaki tu kuwa king hapa Bongoland.
Kill yourself if you ain't feelin him.
Fid Qadiggo ndiyo Rapper best.
Hata liver bado inachukuliwa kama timu kubwa kutokana na historia lakini ukweli ni kwamba ni katimu ka kawaida sana siku hizi.
Hivyo Fiq ni kama Liver.
 
MAMA YANGU WEEEH, JOH MAKINI IS DEAD ONCE AGAIN.......
ASANTE FID KWA KUNIONYESHEA KUA YULE DOGO JOH HANA LOLOTE KWENYE UKALI WA HIP HOP HAPA BONGO PALE UNAPOTAJWA WEWE
Haya, tukiwaambia jamaa kaisha anasafiria historia yake, mnabisha! Ona sasa, songi lina wiki kadhaa lishachuja!
Tatizo jamaa yuko bize kutengeneza PUNCHLINE, wenzie wanapiga HIT SONGS so their money is long!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom