FID Q sumu ngoma jipya

akili ya ziada inaitajika kumuelewa
 
Sugu alikuwa anatumia mistari ya kawaida kwenye nyimbo zake ila zilikuwa kali kuliko maelezo.

Huyu Fid Q anaye-Copy mistari kwenye vitabu hadi leo hajawahi kutoa wimbo mkali kuzidi wimbo wowote wa Sugu.

Lets be serious bro....kiroho safi
 
Hahahaha JF raha sana mkuu umenchekesha sana eti "I really enjoy havin Fid Q in my iphone" kwani ungesema in my phone icngeeleweka? hahahahaha daaah

Yaani tushafika huku kuona iphone is the big deal?Jesus christ...

Hata hujajua iphone yenyewe ni version ipi,kama ni ile iphone I ya mwanzo kabisaa?

Tutoke kwenye vidogo vidogo kama simu nk,..kwa akili yako simu ni kitu cha kuringishia?Mungu wangu..

Nimetaja makusudi maana waelewa wameelewa kua iphone huingizi nyimbo pirated kibwegebwege,unanunua itunes kumsapoti Fid Q,ndio maana ya uzalendo,dola 0.99 kwa nyimbo oficial audio ni jambo zuri..

Haya nenda karingishie "simu"...aisee
 
Ukiwa msomaji wa vitabu mambo mengi sana utayapata huko.Watu wengi siku hizi wanapenda nyimbo za kukata viuno hili ni tatizo!!Ukisikiliza nyimbo za huyu jamaa lazima ujifunze kitu big up kwake!!

Mkuu sijui huyu jamaa anataka asome nini?Vitabu ndio mpango mzima..2pac mwenyewe alikua anamsoma Niccollo Machiavelli,Sun Tzu,etc kupita maelezo...sasa yeye anategemea an empty head can survive in real hiphop kivipi kwa mfano?
 
Hakika huyu jamaa ana kipaji cha pekee sana sijawai ona..! Hongera kwake..
 
Huyu ndio real Ngosha,aliniangusha sana kwenye Walk It Off.
Nimependa sana ile intro ya kisukuma
mnafurahia nyimbo kwa kudownlod huku show hamuend mnaenda walikojaa madem
 
Fine hebu tutajie mistari hata miwili tu aliyo copy kwenye kitabu chochote. Utupe na mwandishi tafadhar. Hiv ww unafiki kusoma kitabu ni kaz rahis??? Tutajie kitabu ulichosoma ww tokea huu mwaka uanze .
Joh Makini ndio anawadanganya hao eti hakopi kwenye vitabu. Inabidi wakamuulize Huyo Joh eti Fid anakopi vitabu gani!? Labda anaweza kuwatajia. Hahahaaaa.
 
Mistari ya kukopi kwenye vitabu...halafu nasikia jamaa anatumia ngada...?
We jamaa.acha ujinga....ebu.sikiliza upya hata kale kamstar aliko mtaja wema,zari mond na kiba...au ndio nyinyi wenye chuki binafsi
 
Inaonekana haupo interested na music anaofanya fid q (under ground hiphop) ndo maana unatafuta point of weakness ili jamaa aonekane wack....but inshort akiamua kuitafsiri hiyo ngoma ya sumu patatokea uchonganishi mkubwa sana,maana ngoma nzima kazungumzia mambo yanazngua kwenye tasnia ya sanaa,ndo maana unakuta hakutaka kutoa ufafanuzi wa zaidi .... ila cheki interview zake youtube ndo utaelewa kama jamaa ana uwezo kiasi gani pia zipo ambazo alifafanua mistari ya nyimbo zake ..... huwa anapenda kufafanua mambo ya kijamii zaid.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…