Asitumie nguvu sana kuimba hiyo nyimbo, haina walaji@&$ aendane na soko lililokuwepo, that's too hard to understand the content, Jana usiku nilikuwa namsikiliza clouds fm kwa mara ya kwanza anarelease ikafika hatua wale presenter wakaweka mistari aifafae akawa ye mwenyewe hajui ipo sehemu ganiiiii>>kituko ikabidi wazuge, hata pale mwenyewe alipoambiwa afafanue mstari kwa mstari sikuwa namuelewa maana anarudia maneno yaleyale badala ya kufafanua maana halisi ya content, So Fid kwenye hii ngoma kazingua, aache hizo huu wimbo hautakaa sana sokoni utapokea within very few weeks, time will tell
Mistari ya kukopi kwenye vitabu...halafu nasikia jamaa anatumia ngada...?
Hahahahahah achana nao hao machalii tunawajua, shughuli ya NGOSHA inawanyima usingizi.. Wanakwambia anakopi kwenye vitabu, ukiwaambia wakutajie mstari na kitabu alichonyofoa huo mstari hakuna watachojibu zaidi ya kutafuta kisingizio kingine cha kujifariji... Hawana jipya baada ya wale jamaa zao kupoteza dira na komesho zao zisizo commercialLakini jamaa anaweza......hiyo na unga inatakiwa tupate udhibitisho
Exactly... Na ndio kinachofanya Fid aendelee kuwa hapo, hajawai kusanda no matter upepo unavumaje... Heshima yake anaijenga hapo tu.Kama hujaelewa, jua wewe sio mlengwa...
Na wewesi usome hivyo vitabu nawe utowe mistari...kichwa kama tikiti
Anachokifanya ni kutafsiri aliyosoma kwenye vitabu ndo maana anazidi kuwa undergroundLakini jamaa anaweza......hiyo na unga inatakiwa tupate udhibitisho
Ww haumjui fid q,,,, ebu pita kulee!Mistari ya kukopi kwenye vitabu...halafu nasikia jamaa anatumia ngada...?
Hyo nymbo inaitwaje??
Ndo nini hiyo?Mistari ya kukopi kwenye vitabu...halafu nasikia jamaa anatumia ngada...?
Hakika haujawahi kufeli wewe kiumbeHapo mpaka mtu atulie ndo atamuelewa huyu anataka saa yule anajali muda ina maana anae jali muda tayari saa anayo? lazima kichwa kikuume kwanza kuielewa mistari yake tupo pamoja kaboom.
Pamoja sana ndugu yanguHakika haujawahi kufeli wewe kiumbe
Kama mstari upi alioutafsili kweny kitabu?Anachokifanya ni kutafsiri aliyosoma kwenye vitabu ndo maana anazidi kuwa underground
Labda ule, "nawaona chura kama snura..." sijui ni kitabu gani hicho...Kama mstari upi alioutafsili kweny kitabu?