Fid Q, How do you explain this brother?


Msikilize Aries hapa, anagusia issue ya ku-copy kazi za watu tunayoiongelea hapa pia.​
 
Last edited by a moderator:

Busted!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:

What do you expect from a form two drop out?? Fid ni kiazi kitambo sema mjanja mjanja kwenye kuiba mistari sio ya watu tu hata kutoka kwenye baadhi ya mashairi ya malenga..

Paulo Sergio De Souz amefanya la maana kuanzisha huu uzi jamaa is a joke and living a lie..
 

Fid Q is a FRAUD.. Ni bingwa wa kutafsiri nyimbo na kazi za sanaa za watu wengine na kuzifanya zake. 99 Percent ya mistari ya Fid ni copy and paste. Anakopi kwenye nyimbo, ana copy kwenye vitabu, ana copy kwenye movie.

" Maisha ni kioo ukiyachekea na yenyewe yanakuchekea " ame copy kutoka kwenye kitabu cha John Mason " The Power Of Positive Thoughts ".

Joh Makini aliwahi kuimba " Hii mistari yangu original, sio ya ku copy kwenye vitabu "
 
Last edited by a moderator:
Paulo Sergio De Souz amefanya la maana kuanzisha huu uzi jamaa is a joke and living a lie..

Thanx brother, somebody had to do it.




Damn shame bruh, sijui alijua angepeta mpaka lini.
 

Asante mkuu kwa kupigia mstari ili tusio na macho tuone kwa wepesi
 
Last edited by a moderator:
Nilidhani kakopi kumbe katumia maneno yaliyo wai kutumika...hakuna mosemo mipya labda ni jinsi ya kuitumia tuu!

Kuna msanii wa marekani tena ana jina kubwa tu anachukua baadhi ya maneno na beat kutoka nyimbo za zamani za ki Korea!
 

plain & simple!....10000000 likes received!
 
hahahahahahahaha....naona ndo umepata "mzuka" mtu mzima!.....ila jisome tena,utagundua hoja yako isivyo na mashiko!...ni hilo tu!

Hahaha Inawezekana, ila tufanye kitu kimoja, point-out the flaws kwenye nilichowakilisha ili kila mtu ajue, usije kuta ni mimi ndio napotosha.

While we at it, I dare any of y'all Fid's soldiers, to call out my name, if you wish to take this discussion about Rap/hip-hop and your main man being wack, further. Just leave out your emotions, nothing but the facts, who's down??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…