Jay Z "just died in your arms" ame copy chorus yooote hajaacha hata neno moja na ilikkuwa the biggest hit.
sasa wewe fid Q kuchuua idea tu unaleta porojo kibao.
Hii mistari alikuwa anakujibu wewe bila shaka
Wajinga ndio hufa kwa wivu sababu hawapo real - by Fid Q
kuna wengine huchukia tu kwa hata vilivyo sawa - fid q