FIBA Basketball World Cup, Spain 2014

FIBA Basketball World Cup, Spain 2014

10676393_10152672419656271_5176336201391492496_n.png
 
Haya leo nipo nacheki game mbili kwa mpigo, kuanzia saa kumi na moja na nusu saa za hapa:

Senegal VS Argentina.

Angola VS Slovenia.
 
Nimeona Angola wamecheza vizuri mpaka sekunde ya mwisho, lakini wamepoteza game against Slovenia kwa point 93-87.
Good job, lakini ndio bahat a mchezo haikuwa yao.
Senegal leo sijui vipi, wamepigwa point nyingi sana na Argentina. Mchezo umeisha kwa Argentina 81- Senegal 46
 
E bana naangalia Spain na France wanakimbizana si mchezo, sasa ni 2nd quater lakini huwezi tabiri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom