Rugby Union
JF-Expert Member
- Nov 21, 2012
- 402
- 257
Mechi za leo,![]()
Senegal wameshinda 77-75, huree..........
Israel hawamo!!! Jana nilicheki Game ya France quater ya kwanza alikuwa nyuma kwa half basket hii ni world Cup gani kama Marekani hayumo?
Mchezo kati ya Angola na Mexico ndio unaendelea hapa Arena Gran Canaria... Mexico wanaongoza.Game ya mwisho leo 1/09/2014 imekwisha wenyeji Spain wamewafunga Brazil kwa point 82-63.
MVP wa mechi ni Paul Gasol, point 26 rebound 9.
Mchezo kati ya Angola na Mexico ndio unaendelea hapa Arena Gran Canaria... Mexico wanaongoza.
Mchezo kati ya Angola na Mexico ndio unaendelea hapa Arena Gran Canaria... Mexico wanaongoza.
Game ya mwisho leo 1/09/2014 imekwisha wenyeji Spain wamewafunga Brazil kwa point 82-63.
MVP wa mechi ni Paul Gasol, point 26 rebound 9.
Anaitwa Pau herufi L hana jina lake lashangaza Nimetizama makundi Nimeiona Marekani The Dream Team
The Dream Team wameshinda kwa tofauti ya point nyingi sana jioni hii. Mi natabiri bingwa atakuwa Marekani au Spain.
Marekani ndie.... atatwaa tu.... sidhani kama atafanya makosa kama kuna mwaka fulani hivi alizembea kombe likasombwa...
Wakati mwingine naosekana jukwaani mkuu, Angola walifungwa jana 79-55, unaweza kuwa unachungulia tovuti rasmi ya FIBA, The Official website of the 2014 FIBA Basketball World Cup - FIBA.comLete updates za mchezo wa Angola, mimi najaribu kuserch live stream kama nitaipata sijui. Sometimes mitandao huwa inazingua.