FIB Tanzania (special forces in Congo) yaichukua ngome kuu ya M23!

M23 anafuture kubwa sana wako tayari kupigania haki yao kwa kipindi kirefu sana mpaka wapewe haki yao,tatizo watu wanafikiri hii vita itachukua siku chache wapi hawajamaa wataipigana miaka zaidi ya 100 na hili eneo halitapata amani mpaka haki za watusi ziheshimiwe,nawapa pole watu wote wanaofikiria kwamba hii vita itaisha kesho,dawa ni mazungumuzo ya kampala tu bilahivyo mtegemee mziki wa miaka mingi.
Mkuu MUKAMANTARE kuna vitu vingine ambavyo unazungumza vyenye ukweli, lakini linapokuja suala la kutetea kabila la Kitutsi hapo ndio unanihacha njia panda! Kwani DRC ina makabila mangapi? Kwa nini mnafikiri nyinyi tu ndio hamtendewi haki of all tribes inside DRC- in other words mnajiona mnastahili more rights kuliko makabila mengine hapa Africa/ DUNIANI - HII INAINGIA AKILINI KWELI? Mkoa wa Kagera specifically Wilaya ya Karagwe kuna a Substantial number ya naturalised BATUTSI, wametulia hawana labsha na mtu yeyote, sasa wakipata wenzao kutoka nchi jirani wenye agenda za siri, wakawa-incite wenzao upande wa Tanzania wahanzishe vurumai ya kudai Serikali yetu a tall order kama za akina Wanyamlenge upande wa DRC hilo likitokea hapa kwetu unafikili Taifa letu litakuwa na amani kweli? Traits hizi za kutotabirika kwenu ndio kumeifanya dunia/Africa iwashtukie - kwa hili mkuu Mukamantare nafikiri huna la kujitetea/kujibu.
 
Serikali ya Tanzania na Afrika ya kusini zimetoa onyo kwa nchi yoyote itakayoishambulia Drc ili kuwasaidia Waasi wa M23

Ifuatayo ni Twitt ya Mh Bernad Membe Waziri wa Mambo ya nje wa Tanzania.

Bernard Membe ‏@BernardMembe17h
Tanzania imetoa tahadhari kwa wajumbe wa Kudumu wa UNSC kuwa vikosi vyetu havitavumilia nchi yoyote itakayoingia DRC kusaidia M23
 
Tuache maneno na majigambo mengi, siku zote mbwa mkali huwa hapazi sauti. Na ukitaka kuuchukia moto jaribu kuukumbatia. MUKAMASIMBA furahia moto kwa mbali na toa maoni yako kuwa moto huo sio mkali na hauna madhara, subiri ukukaribie utajuta.

HINT:
Kukachapa karwanda ni rahisi sana ukizingatia tayari ndani yake kuna wengi ambao wapo tayari kutoa ushirikiano kwa yeyote atakayeonyesha nia hiyo na hao wachache waliobaki ndio hao tulioanza kuwachapa DRC.
 
Last edited by a moderator:
piga hao panya buku wa kageme bila huruma!!!!
triiiiiii triiiii

Hongera FIB special force for your effort to save our neighbor Congolese . Fight intelligently, and efficiently. Hakikisha mnafagia kabisa hao vibaraka wa Kigari Rwanda. Wantanzania tunahitaji Amani ndani na kwa majirani zetu na si vinginevyo.
 
BABTUTU,unajua ya kwamba waha wana hayo matabaka yote ya wahutu,watutsi na watwa? Kwani wote ni jamii ya moja na warundi na wanyarwanda,lakini nilichosema nikwamba kuna wahutu wenye chuki dhidi ya watusi toka burundi ambao wamejipenyeza ndani ya siasa za tz wanaoleta matatizo,mbona rwandawahutu ni 80% ambao wanaishi vizuri tu rwanda tena kwa raha mstarehe,hakuna ubaguzi wowote.

[Unajichanganya tu wewe, karudie kusoma nilichokwambia.]
 
Rwanda kukaribishwa kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki ni kosa kubwa sana lililofanyika. Viongozi wetu wa Afrika Mashariki walikurupuka.Sasa Matokeo yake ndo hayo. Tayari Jumuiya ya Afrika Mashariki imesha onyesha dhahili kumeguka kwa ushawishi mkubwa wa Serikali ya Kigari. Watanzania tufikilie kujenga uchumi imara,Kuimalisha Uzalendo wa nchi baina ya watanzania wote, kulinda mipaka yetu na kuwa na jeshi la kisayansi na lenye nguvu sana.Watanzania tujenge uzalendo wa kweli kama walivyo wamerekani na waingeleza.Tupende nchi yetu kwa dhati, tuwe wamoja, tupendane na tusikubari kuingiliwa ovyo na tujenge urafiki rakini kwa umakini mkubwa sana.
 
Hawa watusi ni watu ambao hawaaminiki, huwezi kukaa nae mkapanga kitu kikawa kitu, ni vigeugeu.
Chemical Ali angekuwepo tungempa kazi ya kuondoa huu uchafu pale Rwanda, hii kirusi cha ajabu duniani hakijulikani ni mnyama ni jiwe ni chuma hakijulikani. Yeye ni vita tu kila kukicha.
Huyo Paulo asivyokuwa na akili anaiba huko Congo lkn sidhani kama anafanya investment za maana.
Angeiba kwa muda fulani invest nyumbani ambayo inakuwa kama mtaji ambayo itakuwa inajiendesha yenyewe then achana na wizi.
Utaiba mpaka lini huwezi iba milele, utapigana vita mpaka lini halafu uwe unaangaliwa tu namna unauwa watu, haiwezekani kila kitu kina mwanzo na mwisho na huu ndiyo mwisho wa mwizi na muuwaji.
 
mh!then wapi isije ikawa vita hii ikafika entebe maana Pk alikuwa mkuu wa usalama wa M7..ili kuifuta RPF inabidi kuanzia Hapo goma mpaka Entebe la sivyo burundi Rwanda na Tz zitakuwa vitani mpaka basi....Mi huyoooooo naenda zangu Nairobi hapa patakuwa shamba la kuuzia silaha zao hao warusi na wamarekani...:A S-fire1:
 
Mkuu naona umefanikiwa kujihunga na JF leo, inaelekea umejihunga kwa lengo maalumu kama sikosei! Unauma na kupulizia katika harakati zako za kuwatetea waasi ambao ni kero kutokana na vitendo vyao vya kinyama vya kuua raia wasio na hatia, kubaka wanawake na watoto wadogo, wizi wa mali asili za DRC si hilo tu, wamejaa vile vile na viburi vya kikabila vya kujiona wao ni bora zaidi ya makabila mengine ndani ya DRC na Eastern and Central Africa! Wanatumiwa na Viongozi wenye mawazo ya kifashisti kuleta vurugu ili wapate visingizio vya kumega nchi za watu wengine kwa visingizio mbali mbali, nani atataka kuishi karibu na binadamu wenye mindset ambazo si rahisi kurekebishika. Labda nikuhulize swali - Hivi multi-factions unazo zungumzia humu, nani alivianzisha, kuvifadhili na kwa madhumuni gani? - Je,wakati wa utawala wa Mobutu DRC ilikuwa na factions ngapi zaidi ya MAI MAI? Jibu unalo. Mkuu nimeona hapa umejaribu kubeza beza wanajeshi wetu as if wasomaji hawana upeo wa kujua picha zile zilipigwa ndani ya mizingira gani, unachosahau ni kwamba asilimia 80% ya Watanzania wamepitia mafunzo ya kijeshi, wanajua vizuri masuala ya kijeshi.

At least for you i can make a reply, ieleweke vizuri i am not against those praising JWTZ hiyo ndiyo kawaida ya raia mwema wa kila nchi na wala sio Tanzania tu sanasana kwa wakati huu ambapo jeshi liko kwenye the so called Peace Mission,kitu ambacho sikubaliani nacho nikutaka kuonyesha kwamba Tanzania inapigana Rwanda, by the way why only Tz and not Malawi,India etc manake nchi zote hizo zina majeshi RDC under the same UN mandate.
Statements like, Kagame,Kigali,Tutsi hizo ndizo am against of.
Unasema hizo faction zilianzishwa na Rwanda?then who installed Kabila,nani kamtoa Mobutu?.
tuiache hii.
Harafu hii issue ya utajiri wa Congo, hivi unadhani hayo madini mnayooongerea nikuyaokota juu?ingekuwa hivyo then wananchi wa maeneo hayo wangekuwa matajiri mno,lakini ndio masikini unadhani hawajui value ya dhahabu waliyonayo?My friend it needs resources to exploit those minerals you are talking abt unfortunately uwezo huo Rwanda haina so hiyo accusation is baseless.
The only interest of Rwanda in Congo is to prevent FDRL to come close to border,a place where they can easily shell in Rwanda nothing else.
It is unfortunate that many Tanzanians dont know who FDRL are, lakini i cant condemn them since this is non of their business
M23 ni wanajeshi wa Kabila walioasi ,for your information believe it or not majority of M23 fighters are not Tutsis, even the faction president is not Tutsi.
We have genocidal sympatizers in this forum others just ni wananchi wakereketwa who wants to hear good news from their army am not against that.
Hayo ndio mambo ya online forums lakini nimeshtukizwa na hatred ya some of members dhidi ya Rwanda
 
Kuna vita inanukia!!!
Wewe ndio unashtukia leo?! - vita kweli inakuja na itatokana na miscalculation ya Rwanda, ingawa kwa sasa ipo silent lakini muda si mrefu itakuwa open maana as we speek Rwanda inapeleka majeshi ya ziada Congo, vifaru etc, picha + video zipo
 
We support our men and women in uniform serving their nation and the great lakes region, you fight a good course and we all support you, Salute to TPDF
 
Amerika na mataifa ya Umoja wa Mtaifa wana evidence kuwa Rwanda inahusika moja kwa moja kuwasaidia M23 kuwatandika wakongoman,kitu ambacho Serikali ya Kigari inakanusha vikali. Jana tarehe 30/August/2013 Vyombo mbali mbali vya Habari vimeonyesha jinsi Askari wa serikali ya Kigari ikihaha kupeleka askali Mpakani wakiwa na siraha nzito nzito. Wanahofu nini sasa.au ndo njia ya kupeleka siraha kwa kisingizio cha kulinda mipaka yao? Kwa nini KIGARI Ipingane na Jeshi la UN? Mnaficha nini.Ningeipongeza serikali ya Kigari endapo ingetoa ushirikiano na UN special force kuwamaliza M23. Lakini badala yake imekuwa tofauti kabisa. Kutapatapa kwa serikali ya Kigari inaonyesha dhahili kwamba yenyewe ndiyo chanzo cha vurugu na mauaji ya watu wasio kuwa na hatia huko DRC Congo. Tahadhari kwa Serikali ya kIGARI. UN inarekodi nyendo zote kama evidence. Nashauri Rwanda iachane na ufadhili wa kijeshi kwa M23 la sivyo Ipo siku Serikali ya Kigari itajutia iliyo yafanya huko DRC Congo kwa kuwafadhili M23 Kinyume na sheria za Kimataifa. Nakubusha mtu mwenye hekima,staha,na mwenye kuheshimiwa na watu wote, ni yule mwenye mahusiano mazuri na MAJIRANI ZAKE.
 
Habari mgogolo jazeera tunaambiwa ni majeshi ya congo...



[h=1]Congolese armed forces occupy rebel positions[/h]


[h=2]DR Congo's government troops take strategic hills overlooking eastern town of Goma as rebel fighters withdraw.[/h]
Last Modified: 31 Aug 2013 11:52




toolsEmail.gif


toolsPrint.gif


toolsShare.gif


toolsFeedback.gif




201383110144472734_20.jpg
The occupation of the hills around Goma marks Congo's biggest success in a year of renewed fighting with M23 [AFP]


Government troops in the Democratic Republic of Congo have occupied strategic locations in the hills overlooking the eastern town of Goma, as rebel M23 fighters withdrew.
The M23 rebels, who have fought an 18-month uprising in the eastern borderlands of DR Congo, said they quit the Kibati hills to allow an independent investigation into shelling that has killed civilians in Goma and the lakeside town of Gisenyi in neighbouring Rwanda.
The Congolese troops, backed by an armed UN force with an expansive mandate, took the positions on Saturday.
Congo's army troops have been buoyed by the intervention of a new UN brigade fighting alongside them to drive back the M23 rebels. "We won!" they chanted in Kibati, which was, until Thursday, a rebel outpost on the frontline overlooking Goma.
"They did not leave by choice, they were confronted with the power of the army," Lieutenant Colonel Olivier Hamuli, a spokesman for Congo's armed forces, told reporters.
Rebel threat
The rebels, however, said on Saturday that they would retake control of the area if the government refused to halt its offensive and begin negotiations.
Bertrand Bisimwa, M23's civilian president, said that Friday's decision for a "unilateral ceasefire" and
withdrawal was aimed at "creating a favourable climate" for a "political solution to the crisis".
Although heavy fighting inside Congo has eased, there was sporadic firing on Friday. Congolese tanks fired on what they said were rebel positions in the bush. A Reuters news agency journalist heard firing to the east, which Lt-Col Hamuli blamed on Rwanda's army.
Rwanda has consistently denied supporting the rebels. It accused its neighbour of persistently shelling into its territory and said such "provocation" could no longer be tolerated, raising the risk that Congo's small but militarily powerful neighbour might openly intervene in a country where it has fought two wars in the last 20 years.
Regional diplomats said Rwandan forces were seen moving north from the capital. Local media published photos of troops in armoured personnel carriers and trucks headed for the border.
Rwanda has in the past justified intervening in Congo by saying it must hunt down Hutu extremists who took part in its 1994 genocide. But a complex web of local politics and regional conflicts over ethnicity, land and minerals are also at play.
Rwandan Foreign Minister Louise Mushikiwabo told Reuters: "If a diplomatic resolution means Rwanda standing by, arms crossed, waiting for its territory to be bombed and its people killed, then diplomacy is definitely off the table."
Millions of people have died from violence, disease and hunger since the 1990s as foreign-backed rebel groups have fought for control of eastern Congo's rich deposits of gold, diamonds and tin, destabilising Africa's Great Lakes region.
'Next 48 hours critical'
Rwanda has been accused by UN experts of backing the rebels. Kigali denies the charge but world powers have stepped up pressure on Rwanda to stay out of Congo's conflict.
A regional diplomat, who is following the situation but asked not to be named, said the rebel force appeared to have remained largely intact despite the withdrawal.
"What happens next all depends on if the Congolese are prepared to go to the negotiating table and how hard Rwanda pushes at that point," the diplomat said.
"Anything could happen at this point, we are not relaxing yet. The next 24-48 hours will be critical."
The United Nations has thrown its weight behind Congo's government, saying its peacekeepers witnessed the M23 rebels firing shells into Rwanda.
The M23 rebels, named after a March 23, 2009, peace deal that ended four years of rebellion in eastern Congo, took up arms last year saying the government had failed to honour the agreement, which included integrating them into the army.
After seizing Goma in November, the rebels further demanded Congo's President Joseph Kabila hold national talks, release political prisoners and disband the electoral commission.
Congo's government spokesman, Lambert Mende, rejected any resumption of peace talks, saying the M23 must first disarm, demobilise and become a political party.

Source:
Agencies


 
Back
Top Bottom