FFU watanda maeneo ya bunge Dodoma Mpaka usiku huu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU watanda maeneo ya bunge Dodoma Mpaka usiku huu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Edson Zephania, Jun 13, 2011.

 1. Edson Zephania

  Edson Zephania Verified User

  #1
  Jun 13, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 507
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wakati nashuka kituo cha daradara Bohari nimekutana na magari matatu ya FFU yakiwa na askari wa kikosi cha kutuliza ghasia wakiwa na silaha zao kama kawa (mabomu ya machozi, helmet na silaha za moto) nimejiuliza Je maandamano ya Udom bado yanaendelea?, wakati huo wanafunz wa Udom kampasi ya Social science mpk sasa wamekusanyika kwny uwanja wa basketball tangu saa kumi wakimsubiri Mh Shukuru Kawambwa na bado hajatokea.
   
Loading...