FFU na mikwara yao hapa Tanga mjini!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU na mikwara yao hapa Tanga mjini!!

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by tanga kwetu, Oct 31, 2010.

 1. tanga kwetu

  tanga kwetu JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 2,165
  Likes Received: 1,124
  Trophy Points: 280
  Leo asubuhi nilifika kituo cha kupigia kura Mokorora shuleni saa 6:05 AM na kuwa mtu wa pili kufika hapo kituoni.

  Nilishangazwa na Land Rover 110 za F.F.U zenye askari waliovalia kivita zikiranda mitaani kwa speed kubwa zikiwa zimewasha taa na ving'ora asa if kuna tatizo. kiukweli kila mtu akawa analaani kitendo kile maana hatujui wangapi watakuwa wameogopa kutoka na kwenda kupiga kura.

  Hata hivyo huku Tanga mjini, mwamko ni mkubwa balaa! turn up ni kubwa sana!
  haya tusubiri yatakayojiri.
   
Loading...