FFU, mabomu ya machozi na maji ya upupu, silaha pekeeza Kikwete dhidi ya Watanzania ! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FFU, mabomu ya machozi na maji ya upupu, silaha pekeeza Kikwete dhidi ya Watanzania !

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mag3, Nov 1, 2010.

 1. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280

  • Mwanza wapigwa mabomu
  • Temeke warushiwa mabomu
  • Mabomu yarindima Kigoma
  • Magu watawanywa kwa mabomu
  • Kigoma mabomu yatawala
  • Arusha warushiwa maji ya upupu
  • Mbeya mabomu nje nje
  • Shinyanga hakukaliki kwa mabomu
  • Tarime mabomu mtindo moja
  • Next Ubungo ?
  Wanatumia

  • FFU na mabomu ya machozi alimradi Kikwete abaki madarakani.
  • Bunduki, fimbo na marungu alimradi kulinda uchakachuaji wa kura.
  • Green Guards na mapanga alimradi CCM ipate ushindi wa kishindo.
  • JWTZ na vitisho vya Shimbo alimradi walafi waendelee kunenepa.
  • Tume ya Uchaguzi na wizi wa kura alimradi ukombozi haupatikani.
  • Ati maovu yote haya ni katika kulinda amani, mshikamano na utulivu.
  Hata hivyo Watanzania tusikate tamaa kwani ingawa wana pesa (shetani), wananchi tuna Mungu.
   
 2. Ngambo Ngali

  Ngambo Ngali JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2010
  Joined: Apr 17, 2009
  Messages: 3,194
  Likes Received: 134
  Trophy Points: 160
  Sasa hivi Mbeya moto mabomu nje nje
   
 3. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Kikwete ataimaliza nchi yetu kwa tamaa yake hii ya uongozi
   
 4. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nikimfikiria hamu ya chakula inayeyuka. I mean ni kichefuchefu as if nina mimba isiyompenda!
   
 5. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Hii ni aibu tume ya uchaguzi wanasikiliza amri za Kikwete na mafisadi wenzake.
   
 6. Avanti

  Avanti JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2010
  Joined: Aug 24, 2010
  Messages: 1,209
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Ungekuwepo hapo ungeona umuhimu wa mabomu. Watu wakianza vurugu sio mchezo, wnakuwa kama wanyama. Hebu muulize mdogo wangu alikuwa msimamizi wa uchaguzi Kahama huko namba zake 0784860452
   
 7. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2010
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Huyo mdogo wako ni sehemu ya tatizo lenyewe, wasimamizi wa uchaguzi. Mdogo wako ni moja katika silaha anazotumia Kikwete kung'ang'ania madarakani kwa kuchakachua maamuzi ya wazalendo. Siku ya hukumu, kama walivyokuwa wafuasi wa Hitler, hatapona - mjulishe kuwa damu ya watanzania inayomwagika iko mikononi mwake pia. Asante nitampigia simu kumweleza hayo na hivi sasa kasi ya ulipuaji wa mabomu yazidi kuongezeka kadiri wananchi wanavyozidi kumkataa Kikwete.
   
Loading...