Elections 2010 FFU, mabomu ya machozi na maji ya upupu, silaha pekeeza Kikwete dhidi ya Watanzania !

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,063
22,755

  • Mwanza wapigwa mabomu
  • Temeke warushiwa mabomu
  • Mabomu yarindima Kigoma
  • Magu watawanywa kwa mabomu
  • Kigoma mabomu yatawala
  • Arusha warushiwa maji ya upupu
  • Mbeya mabomu nje nje
  • Shinyanga hakukaliki kwa mabomu
  • Tarime mabomu mtindo moja
  • Next Ubungo ?
Wanatumia

  • FFU na mabomu ya machozi alimradi Kikwete abaki madarakani.
  • Bunduki, fimbo na marungu alimradi kulinda uchakachuaji wa kura.
  • Green Guards na mapanga alimradi CCM ipate ushindi wa kishindo.
  • JWTZ na vitisho vya Shimbo alimradi walafi waendelee kunenepa.
  • Tume ya Uchaguzi na wizi wa kura alimradi ukombozi haupatikani.
  • Ati maovu yote haya ni katika kulinda amani, mshikamano na utulivu.
Hata hivyo Watanzania tusikate tamaa kwani ingawa wana pesa (shetani), wananchi tuna Mungu.
 
Nikimfikiria hamu ya chakula inayeyuka. I mean ni kichefuchefu as if nina mimba isiyompenda!
 
Hii ni aibu tume ya uchaguzi wanasikiliza amri za Kikwete na mafisadi wenzake.
 
  • Mwanza wapigwa mabomu
  • Temeke warushiwa mabomu
  • Mabomu yarindima Kigoma
  • Magu watawanywa kwa mabomu
  • Kigoma mabomu yatawala
  • Arusha warushiwa maji ya upupu

Wanatumia

  • FFU na mabomu ya machozi alimradi Kikwete abaki madarakani.
  • Bunduki, fimbo na marungu alimradi kulinda uchakachuaji wa kura.
  • Green Guards na mapanga alimradi CCM ipate ushindi wa kishindo.
  • JWTZ na vitisho vya Shimbo alimradi walafi waendelee kunenepa.
  • Tume ya Uchaguzi na wizi wa kura alimradi ukombozi haupatikani.
  • Ati maovu yote haya ni katika kulinda amani, mshikamano na utulivu.

Hata hivyo Watanzania tusikate tamaa kwani ingawa wana pesa, wananchi tuna Mungu.

Ungekuwepo hapo ungeona umuhimu wa mabomu. Watu wakianza vurugu sio mchezo, wnakuwa kama wanyama. Hebu muulize mdogo wangu alikuwa msimamizi wa uchaguzi Kahama huko namba zake 0784860452
 
Ungekuwepo hapo ungeona umuhimu wa mabomu. Watu wakianza vurugu sio mchezo, wnakuwa kama wanyama. Hebu muulize mdogo wangu alikuwa msimamizi wa uchaguzi Kahama huko namba zake 0784860452
Huyo mdogo wako ni sehemu ya tatizo lenyewe, wasimamizi wa uchaguzi. Mdogo wako ni moja katika silaha anazotumia Kikwete kung'ang'ania madarakani kwa kuchakachua maamuzi ya wazalendo. Siku ya hukumu, kama walivyokuwa wafuasi wa Hitler, hatapona - mjulishe kuwa damu ya watanzania inayomwagika iko mikononi mwake pia. Asante nitampigia simu kumweleza hayo na hivi sasa kasi ya ulipuaji wa mabomu yazidi kuongezeka kadiri wananchi wanavyozidi kumkataa Kikwete.
 
Back
Top Bottom