Be careful guys...hii kitu tusiingizie doa kwa kuwapa nafasi hao majeshi ku-act. Amani tumeilinda mpaka dakika hii hivyo tuendelee hivi na don't act stupid. Wote waliokuwa na profiles mbaya tayari wamekwisha kuwa fired kwa kura yako hivyo take it easy. No fujo no fujo.:nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono::nono:
Jamani kwa majimbo ambayo ni confirmed, tafadhali mwageni data hapa; tutawatumia kwenye simu zao za mkononi ili wajiulize kama amri walopewa ni sawa kuitii au la! Natumai watachanganya na za kwao kisha watachukua uamzi sahihi! Weraaaaaaa Weraaaaa!
Inatakiwa ifike kipindi askari wetu watumie akili si kila kitu amri'Watuache na Nchi yetu tunapenda Amani ' wakaombe mech Afganistan lol .PEOPLES POWER