Hivi imekaeje hii? fedha secondary na shule zetu za kata kupewa mtihani mmoja? Wakati fedha sec inakila kitu, walimu wazuri, zitendea kazi, ni haki kweli? Haya na hili la secondary za serikali kuzidilwa na private litaisha lini? serikali ndo yenye kila kitu, dola, kodi zetu, inazipeleka wapi? hari itaisha lini? Nani tumvishe kengere?