Feza boy's

Hardman

JF-Expert Member
Jan 4, 2011
672
395
Feza boys hainaga masifa na promo kihiiivyo ila mambo yao nima aisee...embu ichek kwenye results za form6 this year yaan ni noma
 
ni kawaida yao kuwa ya kwanza kimkoa,kitaifa huwa 10 bora haikosi.pia feza girls ni wazuri sana!ada kwa sekondari karibu 4m per year
 
we wa wapi hata top 3 kibaha haipo...this year walikuwa na combi mbili tu lakini wap bado wamekimbizwa
 
hakukuwa na hizo comb kwa 7bu ya ile blanda ilo fanywa na yule babu yulee nn nn mmh mungai kufuta masomo ya biashara ssa hii batch ndo wako affected na hiyo
 
Back
Top Bottom