Ferry boats to start docking at JNIA?

Ferry boats to start docking at JNIA?

Wacha kulialia ukitafuta pakutokea, hapo ni nje maeneo ya kuegesha magari, ila umeletewa mapicha ya ndani kabisa ya hilo zizi lenu.
Hivyo kila ukileta taarifa mbaya za Kenya, uwe ukijua Tanzania ni mara kumi zaidi nyie watu wa LDC.
Kwikwikwikwi. Tatizo mnaleta taarifa za uongo. Mkileta taarifa za ukweli hakuna shida. Tatizo mnatunga news.
 
Hahahaha, jamaa wanalia kweli kweli.
Ndege itabidi ziwekwe engine za mashua(boat) hapo Kwa magurudumu ndo ziende mbio juu ya maji kabla kupaa
 
Hebu ona sasa ulivyo mfinyu wa uelewa. Tunajaribu kuwafungua macho muelewe mambo yanakuwaje. Ni wapi ulipo tushika?
Halafu bahati mbaya unaongea uongo kabisa. Hiyo picha hauioni kuwa ni mbali kabisa na uwanja wa ndege? Tena hapo ni nje ya uwanja wa ndege. Huoni hata magari hapo!!?
Hebu weka link yoyote inayoongelea hiyo taarifa hapa.
Tatizo wakenya ni uogo, wivu, roho mbaya. Kila kukicha kutunga stori ili kuichafua Tanzania. Mmejazana humu lengo lenu kuichafua Tanzania. badala ya kuongelea msuala ya kwenu mnaanza kuichafu tanzania.
Stupid. Mnategemea tutakuwa na umoja na nyie. Ongeleeni yenu. Na kama taarifa ni ya ukweli weka source yake. Mbona sisi huwa tunaweka sources?
Kila siku hua mnaweka vi picha vya twitter Kama chanzo cha habari kuhusu kenya, Leo hii mmeletewa twitter alafu bado unaulizia sources???? Hahaha, it's time to eat your own vomit
 
Kila siku hua mnaweka vi picha vya twitter Kama chanzo cha habari kuhusu kenya, Leo hii mmeletewa twitter alafu bado unaulizia sources???? Hahaha, it's time to eat your own vomit
Mimi nimesema twendeni kazi. Hakuna shida. Na nimesema msilie lie. Bahati mbaya mnaleta picha za uongo. Mpaka sasa hakuna source yoyote ya uhakika imeletwa hapa kuhusu hiyo picha.
Kwikwikwikwi. wakenya mnaumizwa sana ma Airbus a380

airbus-jpg.755419

When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

Sasa tunaona wivu wenu unakuja juu na mnaanza kuleta taarifa za uongo.
 
Kila siku hua mnaweka vi picha vya twitter Kama chanzo cha habari kuhusu kenya, Leo hii mmeletewa twitter alafu bado unaulizia sources???? Hahaha, it's time to eat your own vomit
Somebody will eat their shit today. Na Kama wamekua wameandikwa kazi kuharibu jina ya Kenya hapa, naona unakula kalamu. You get warr-aam-sein!
Maisha msumeno wanangu!!
 
Haha huu uzi murua kabisa
manyani ya kutoka LDC Dar is slum hayajaona kundu kundu yao kubwa
walambe lolo!
 
Mimi nimesema twendeni kazi. Hakuna shida. Na nimesema msilie lie. Bahati mbaya mnaleta picha za uongo. Mpaka sasa hakuna source yoyote ya uhakika imeletwa hapa kuhusu hiyo picha.
Kwikwikwikwi. wakenya mnaumizwa sana ma Airbus a380

airbus-jpg.755419

When Kenyan media feels jealous after A380-800 landed in Dar instead of Nrb on a maiden trip to EA

Sasa tunaona wivu wenu unakuja juu na mnaanza kuleta taarifa za uongo.
hivi source ya uhakika ni jpm akiwa ndani ya majii hapo jnia?? haya basi ngoja nakuletea...
 
Nadhani ni vyema wakenya waelezwe vizuri kabisa.
Ninawashangaa sana badala ya kutumia hili jukwaa kutuonesha mambo yao mazuri wanatumia muda mwingi kujadili masuala ya Tanzania.
Ndugu nakuheshimu sana. Lakini wakenya waliowengi hawajitambui kabisa.
Asitegemee sisi Watanzania tutaonesha image nzuri ya nchi yao.
By thecway. Ngoja sasa tufanye msikimbie huu uzi.
tanzania inawaumiza sana kichwa 😀😀😀😀😀😀 hawalali kabisa
 
Wamenye wako juu Sana.... Hata miguna kathibitisha hilo
 
na hio ndio sumu kwao ile ndege kutua dar imewaumiza sna tena sana😀😀😀
Now for you, I usually don't get your arguments. Huku kuumia you talk about, what does it even refer to? I usually leave you with an OKEY!
 
Now for you, I usually don't get your arguments. Huku kuumia you talk about, what does it even refer to? I usually leave you with an OKEY!
thanks for ur okey 😀😀😀😀😀 how is the pain going on???😛😛😛😛😛
 
Back
Top Bottom