Ferry boats to start docking at JNIA?

Ferry boats to start docking at JNIA?

YoungD

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2016
Posts
1,275
Reaction score
1,332
atcl is set to acquire a ferry to ease access to jnia for their imagined flights to Mumbai. [HASHTAG]#tanzaniayaviwonder[/HASHTAG].

IMG_20180506_224546_503.JPG
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]crayz
 
Young d hivi wewe huogopi kushikwa na kim jong-un kwa kuharibu image ya pyongyang ya africa mashariki😀😀😀
Kim jong un wa Africa yuko bize akiagiza ferry.
 
Heri Nairobi kunaflood sehemu zingine lakini airport duuuu!😀😀😀
 
Wanachungulia na kuhepa kimya kimya. JNIA is a substandard airstrip hata Garissa Airstrip hajawahi kumbwa na floods.... Geza Ulole Annael
 
Uuuuuiiii! Jnia utadhani Tandale.
 
If bad weather is the measure of an airport's "adancednesss" the I think JFK should be relocated to Africa. You really wonder how such an artery to north america can have poor workmanship and bad drainage. Who is ever started this thread is engaging in idleness and malice the strong hold of old women.
Floods hit New York's JFK airport
 
Nadhani ni vyema wakenya waelezwe vizuri kabisa.
Ninawashangaa sana badala ya kutumia hili jukwaa kutuonesha mambo yao mazuri wanatumia muda mwingi kujadili masuala ya Tanzania.
Ndugu nakuheshimu sana. Lakini wakenya waliowengi hawajitambui kabisa.
Asitegemee sisi Watanzania tutaonesha image nzuri ya nchi yao.
By thecway. Ngoja sasa tufanye msikimbie huu uzi.
 
He he he mkikamatwa huwa mnajifanya philosophers na kuibuka na tumijisemo, ilhali wenyewe huwa mna mazoea ya kukesha humu mkiweka mabango ya kila tatizo lililoko Kenya.
Kwanza wewe ndiye kinara wa kusaka taarifa mbaya kuhusu Kenya.

Huo uwanja wenu wa JNIA umekua kama zizi la ng'ombe. Mkaufanyie kazi kama mnataka kushindana na big boys wa Africa.
 
If bad weather is the measure of an airport's "adancednesss" the I think JFK should be relocated to Africa. You really wonder how such an artery to north america can have poor workmanship and bad drainage. Who is ever started this thread is engaging in idleness and malice the strong hold of old women.
Floods hit New York's JFK airport
We both know who the old women are here, you bitch around on negativity about Kenya then when it hits you hard you play silly. Yeah they should relocate and join their calibre,loud mouths!
 
He he he mkikamatwa huwa mnajifanya philosophers na kuibuka na tumijisemo, ilhali wenyewe huwa mna mazoea ya kukesha humu mkiweka mabango ya kila tatizo lililoko Kenya.
Kwanza wewe ndiye kinara wa kusaka taarifa mbaya kuhusu Kenya.

Huo uwanja wenu wa JNIA umekua kama zizi la ng'ombe. Mkaufanyie kazi kama mnataka kushindana na big boys wa Africa.
Hebu ona sasa ulivyo mfinyu wa uelewa. Tunajaribu kuwafungua macho muelewe mambo yanakuwaje. Ni wapi ulipo tushika?
Halafu bahati mbaya unaongea uongo kabisa. Hiyo picha hauioni kuwa ni mbali kabisa na uwanja wa ndege? Tena hapo ni nje ya uwanja wa ndege. Huoni hata magari hapo!!?
Hebu weka link yoyote inayoongelea hiyo taarifa hapa.
Tatizo wakenya ni uogo, wivu, roho mbaya. Kila kukicha kutunga stori ili kuichafua Tanzania. Mmejazana humu lengo lenu kuichafua Tanzania. badala ya kuongelea msuala ya kwenu mnaanza kuichafu tanzania.
Stupid. Mnategemea tutakuwa na umoja na nyie. Ongeleeni yenu. Na kama taarifa ni ya ukweli weka source yake. Mbona sisi huwa tunaweka sources?
 
He he he mkikamatwa huwa mnajifanya philosophers na kuibuka na tumijisemo, ilhali wenyewe huwa mna mazoea ya kukesha humu mkiweka mabango ya kila tatizo lililoko Kenya.
Kwanza wewe ndiye kinara wa kusaka taarifa mbaya kuhusu Kenya.

Huo uwanja wenu wa JNIA umekua kama zizi la ng'ombe. Mkaufanyie kazi kama mnataka kushindana na big boys wa Africa.
Wapande mihogo hapo Kwa uwanja they feed the hungry ones, for us we do bananas when our roads flood.
 
Back
Top Bottom