Shukran kwa kulitolea maelezo Manaake hii taarifa hata kwetu huku ushetu ilisambaa vilivyo yakwamba ulipewa gari na mh.Mkapa
Nawaheshimu sana wasanii wakongwe hapa Tanzania mlikitendea vyema kipindi chenu kwa nyimbo zenu nyingi zilizo na lundo la mafundisho katika Jamii na uhalisia haswa!
Nyakati zinabadilika, heshima kwenu wakongwe!
Ndugu yangu!Nyimbo za wasanii wakongwe hazijawahi kukinai kama hizi za akina sheta!
Pini kama mkasa wa boss, barua,wife,mtazamo,nikusadieje,vumilia and the list goes.... Ubora na uthamani wake sio kushuka Leo wala kesho kwa mtu anaeujua muziki.
Muziki zamani, siku hizi ni utani,hakuna hata burudani wala madini, akili zao zote zipo sokoni.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Kwani Sheta anaimba!!Nyimbo za wasanii wakongwe hazijawahi kukinai kama hizi za akina sheta!
Pini kama mkasa wa boss, barua,wife,mtazamo,nikusadieje,vumilia and the list goes.... Ubora na uthamani wake sio kushuka Leo wala kesho kwa mtu anaeujua muziki.
Muziki zamani, siku hizi ni utani,hakuna hata burudani wala madini, akili zao zote zipo sokoni.
sent from tekno ya shilingi elfu saba na mia tano.
Mkuu Lizarazu!
Za siku vipi mwanamalundi.
Ni hatari kizazi hiki muziki upo zaiidi kipesa-pesa na kingono-ngono.
Ukisiliza ngoma za wakongwe unapata vitu halisia na Maarifa.
Nyakati zinabadilika hatuna budi.
Kuna wimbo wa "wema wangu umeniponza" wa ferouz naupenda kweli kweli na wimbo wa "boss".
Lukagoal umemuona Jana...?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi mwenyewe nampango wa kuingia studio maana nna ma freestyles mshenzi kibao tu ghetto. [emoji13] [emoji13]Ndugu yangu!
Saizi kila Mtu anaweza kuwa msanii,Sasa ubora utatoka wapi..?
Hakika dunia imebadilika,wao pesa Kwanza!!