Ferooz awaanika Prof Jay na Chege

GK,CHID BENZ,JAYMO,SAIDA KALOLI,RAY C,OMMY DIMPOZ,wote hawa wamejarib kujirudisha kwenye game but wamefeli....mwambie mziki wa sasa ni wa Wasafi,Aslay,Kiba,Nandy,na vitoto vingine,hao wakina chege walijitunza ndo mana mpk sasa wapo wapo kimtindo.......
 
Mtoe Jay Mo kwenye huo upuuzi
 
Tatizo la ferooz amezoea kutunga nyimbo za kulalamika tu.Dunia ya sasa haitaki simulizi tena
 
Naona bado anaimba kitisini tisini, mwambieni zama zimebadilika na vyuma vimekaza,
wengi wanahitaji nyimbo zenye kuburudisha ili kupunguza stress, sio kulialia.
 
Bado ana style ya kulialia, ingefaa angeandaa movie kupitia hayo mashairi badala ya wimbo
 
Wasanii wa bongo shida sana,juzi kuna clip yake kavaa ronyaronya za karume alipoulizwa pesa aliyonunua,akawa anataja kwa dola tu,yaani vitu vyote alivyovaa vilikaribia dola elf 3 au 4 hivi.Labda kama hakuwa anaongea yeye ilikuwa sembe
 
Ferooz maisha kayakosea mwenyewe kutaja taja watu haitamsaidia hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…