Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ferdinand Ruhinda - The Shadow Behind..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, Apr 14, 2008.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  What do we know about this man.. I know one thing for SURE; he is close to Mkapa and Rostam... a while ago, I received an email plying the whereabouts of Mr. Ruhinda.. does anybody know where he is now and what is up to...
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  Apr 14, 2008
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,652
  Likes Received: 35,412
  Trophy Points: 280
  How close is he to Mkapa and Rostam...? Buddy buddy close..or business-wise close?
   
 3. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Vyote vyote, ndiye alikuwa mshauri mkuu wa Mkapa kuhusu business and political issues tangu kwenye kununua mwananchi kabla ya uchaguzi wa 2000 (kabla hawajaja wakenya). kwenye business issues wakati wa mkapa alikwua akimtumia rostam kuhifadhi maslahi ya bwana mkubwa kabla bwana mkubwa hajashtuka na kuanza kujitunzia maslahi yake mwenyewe baada ya Ruhinda kuamua kujitoa katika deals nyingi
   
 4. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #4
  Apr 14, 2008
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  He was Mkapa's chief of elections campaign in 2000... that much we all know... that's 'how close' he is...

  U dont just trust ur entire elections campaign, especially the presidential one, to just ANYBODY, do you?
   
 5. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,659
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  As far as I know,

  he was Mr. Clean's right-hand man,aliyekuwa na uwezo wa kusema "let there be ..." and there it was.Kumfikia Mr. Clean one had to pass through him first.Nafikiri bado anaishi Mbezi Beach if my kumubukumbu is does not fail me...As of now sijui anafanya nini na wapi.
   
 6. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Last time nilikutana na Fisadi Ruhinda somewhere in Dar alikuwa akilalamika kuwa waandishi wa habari wanachochea habari za uongo kuhusu Mkapa na akawa anatafuta namna ya kudeal nao! Trace zake zimepotea karibuni!
   
 7. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #7
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Ruhinda - Mkapa - Rostam - Kikwete

  Wawili Marais

  Wawili makampeni managers
   
 8. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,659
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  Mwanakijiji the way the thread is unrolling I fear to conclude what seems to be the obvious...

  On weekend during his reign sources say Mr. Clean alikuwa akienda "kupoteza muda" nyumbani kwa huyu Mzee wa kihaya siku za w/end.
   
 9. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #9
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  twende pole pole.. tutagusa hata visivyoguswa....
   
 10. M

  MACKLESSONS Member

  #10
  Apr 14, 2008
  Joined: Apr 14, 2008
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  noma tupu

  [​IMG]
   
 11. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #11
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,659
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  Mhh braza na wewe lakini!!

  Anyway no komment, rien a dire!
  .
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  ushirika wa wachawi huvunjika inapofika zamu ya kula mtoto wako!
   
 13. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  ...alimwambia Mzee Mkapa asijibu tuhuma zote zinazotoka katika Magazeti.


  Mwanakijiji wewe ni noma??naona unafufua yaliyokufa..
   
 14. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  kwi kwi kwi kwi...

  kwa hiyo Mkapa na Ruhinda ni wachawi? I know about Kikwete na Rostam Azizi lakini sikujua kuhusu Mkapa na Ruhinda ... lol

  Kwi kwi kwi kwi ... this one just made my morning!
   
 15. Ibambasi

  Ibambasi JF-Expert Member

  #15
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 6,659
  Likes Received: 2,466
  Trophy Points: 280
  The A1 reason not to miss at least visiting JF once a day!
  CNN wanasema "Be the first to know".
   
 16. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #16
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  let me give you another line..

  "JF - The News behind the Newsmakers!"
   
 17. Gembe

  Gembe JF-Expert Member

  #17
  Apr 14, 2008
  Joined: Sep 25, 2007
  Messages: 2,505
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 135
  na haya ni moja ya mahojiano yake na mwandishi mmoja wa VOA

  (BELIDA) I UNDERSTAND HE IS ALSO VERY CLOSE TO MWALIMU (FORMER PRESIDENT JULIUS) NYERERE. COULD YOU DISCUSS THAT RELATIONSHIP BETWEEN THE TWO MEN AND WHETHER YOU THINK THAT AS PRESIDENT MR. MKAPA WOULD BE HIS OWN MAN?

  RUHINDA: MR. MKAPA IS CERTAINLY GOING TO BE HIS OWN MAN. IT IS TRUE HE IS VERY CLOSE TO MWALIMU NYERERE IN HIS THINKING AND IN HIS CORRECTNESS AND HIS INCORRUPTIBLE BEHAVIOR. BUT HE IS GOING TO BE HIS OWN MAN. TO BEGIN WITH, MR. MKAPA DECIDED TO ENTER THIS RACE. HE WAS NOT ASKED BY MR. MWALIMU NYERERE AND TO BE QUITE CANDID WITH YOU, I THINK NYERERE DID NOT HAVE MKAPA IN MIND WHEN HE STARTED THIS CAMPAIGN TO GET (INFLUENCE THE CHOICE OF) THE C-C-M (RULING PARTY) CANDIDATE. I THINK THE RELATIONSHIP BETWEEN THE TWO IS GREATLY EXAGGERATED. MR. MKAPA HAS DIFFERED WITH MR. NYERERE ON A NUMBER OF ISSUES. HE DISAGREES FOR INSTANCE WITH MWALIMU'S OPPOSITION ON PRIVATIZATION (OF STATE INDUSTRIES). HE IS SOMEWHAT IN CONFLICT WITH BEN MKAPA'S SUPPORT FOR PRIVATIZATION. THERE ARE A NUMBER OF OTHER ISSUES ON WHICH I DON'T THINK THEY AGREE. BUT IT IS TRUE THEY ARE VERY CLOSE, THEY DISCUSS THESE ISSUES AND THEY DISCUSS THEIR DIFFERENCES. IT'S NOT THAT MWALIMU NYERERE IS GOING TO RUN THE SHOW.

  BELIDA: DOES BEN MKAPA HAVE A VISION OF A FUTURE FOR TANZANIA AND WHAT IS IT?

  RUHINDA: HIS VISION OF TANZANIA IS TO TAKE THIS COUNTRY TO THE 21ST CENTURY, TO HAVE A COUNTRY IN WHICH SYSTEMS WORK, IN WHICH THERE IS LESS OR LITTLE CORRUPTION, IF AT ALL, AND TO HAVE A MODERN COUNTRY. MODERNIZATION WILL BE THE EMPHASIS.

  BELIDA: TANZANIA HAS HAD TROUBLE ATTRACTING FOREIGN INVESTMENT LIKE SO MANY AFRICAN COUNTRIES. IS HE OPTIMISTIC HE WILL BE ABLE TO MAKE A DIFFERENCE THAT WAY?

  RUHINDA: I BELIEVE THAT IF YOU HAVE GOOD GOVERNANCE IN PLACE, IF YOU START DEALING WITH THE ISSUES OF COMMUNICATIONS, IF YOU PROVIDE HOTELS LIKE THIS (REFERENCE TO NEW SHERATON WHERE INTERVIEW TOOK PLACE), INVESTORS WILL COME. INVESTORS ARE ALL INTERESTED IN MAKING A PROFIT. THEY WILL ONLY TAKE THEIR MONEY WHERE THEY CAN MAKE A PROFIT. THAT IS HIS CHALLENGE.

  Source:VOA
   
 18. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #18
  Apr 14, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  naona alikuwa anajua anachozungumzia...
   
 19. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Tell me about it!

  Mafisadi hawaachwi walale hata waseme nini! Wiki tatu zilizopita nilimwahidi Chenge kuwa atafuatiliwa kila sehemu aliko hadi akome na sasa ameanza kupata joto la jikoni! .....

  Mimi ningemshauri Kikwete apige chini baraza la mawaziri na kuendesha serikali kwa muda bila baraza la mawaziri wakati akifikiria cha kufanya.

  Inaonekana huko ccm kila kiongozi ni fisadi tu! phew.....
   
 20. Bi. Senti 50

  Bi. Senti 50 JF-Expert Member

  #20
  Apr 14, 2008
  Joined: Apr 17, 2007
  Messages: 291
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  mwanakijiji, umeanza kugusa ambako wenzako hawajathubutu. Huyo jamaa (Ruhinda) ana mikono mingine na huweza kufika popote. Tembea kwa uangalifu.
   
Loading...