Feni ya CPU (CPU cooler) inahitajika

Feni ya CPU (CPU cooler) inahitajika

Rai Pazzy

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2015
Posts
493
Reaction score
187
Hello habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa anaefahamu wapi hapa dar naweza pata CPU cooler ya kawaida tu naomba anipe mwongozo.

Socket Ya CPU LGA 1155

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenda maduka yanayouza spare za tv, na redio fen hizo zipo unapata kwa 12 hadi 15 inategemea na ni voltn ngapi

sent from toyota Allex
 
Hello habari zenu poleni na mihangaiko ya hapa na pale.

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja kwa anaefahamu wapi hapa dar naweza pata CPU cooler ya kawaida tu naomba anipe mwongozo.

Socket Ya CPU LGA 1155

NAWASILISHA

Sent using Jamii Forums mobile app
unataka ya intel stock cooler au, kuna cooler master moja ipo hapa
 
Nina Cooler Master Evo 212, but nipo Arusha mkuu. Nilikua naitumia kwenye Rig yangu nikaupgrade kwenda NZXT Kraken X52. Kama vipi tuwasiliane
 
Back
Top Bottom