Feni ambazo unaweka maji

hp4510

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
6,446
6,308
Wakuu joto limekuwa kali sana huku kwetu Mbagala, kuna feni nasikia unaweka maji then inatoa mvuke kama air condition. Naweza kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?
 
Hiyo kali, tusubiri wenye data ikishindikana wape oda wachina huwezi kosa.
 
wakuu joto limekuwa kali sana uku kwetu mbagala... kuna fen nasikia unaweka maji then inatoa mvuke kama air condition.... naweza kupata wapi hizo feni na bei yake ikoje?

Zinapatikana madukani Zanzibar mtaa wa mchangani.Lakini hazina lolote.Ukiweka maji zinatoa mvuke fulani kama ukungu hivi.Lakini ni wizi mtupu take it from me.Ila zinadumu haziharibiki ovyo na nguvu yake ya feni kupuliza ni kubwa.Zinaitwa wtrr kama sikosei.

bei yake inaanzia laki 150 hadi 120 kutegemea na uwezo wako wa ku-bargain.Bei hizo ni za mwaka jana mwezi wa Tisa.
 
Zinapatikana Mlimani city pale Game, zipo za ujazo tofauti. Mimi nilinunua Logik mwaka jana mwanzoni badi ipo poa kabisa,ya lita 7.5. Bei ni kati ya 150-250. Upepo wake ni wa baridi kdg zaidi ya upepo wa feni ya kawaida ila ubaridi huo haufikii wa AC za kawaida.
 
na hiko kinachoitwa mvuke wa baridi ni kweli unatoka?
 
Kuna ambazo zinatoa mvuke fulani hv (nimeziona Game kama 2 months ago),na nyingine kama yangu haitoi mvuke ila tu upepo unakuwa wa baridi tofauti na ule wa kawaida kwakuwa kwenye tank la maji kuna makopo fulani (yanakuja na feni) mawili unayaweka kwenye freezer maji yake yanaganda. Ukiwasha feni unayatumbukiza kwenye tank yanapoza yale maji,hlf unabofya "humidifying", "cool" or whatever it is written kuruhusu mzunguko wa maji. Yangu huchukua 7-8hrs kumaliza tank la maji.
 
Nimeziona kkoo juzi...laki 3.zipo hadi za laki 6.sijawahi kutumia nilipewa maelezo yake nilizipenda.ila ukweli sijawahi kutumia.
 
Zinapatikana madukani Zanzibar mtaa wa mchangani.Lakini hazina lolote.Ukiweka maji zinatoa mvuke fulani kama ukungu hivi.Lakini ni wizi mtupu take it from me.Ila zinadumu haziharibiki ovyo na nguvu yake ya feni kupuliza ni kubwa.Zinaitwa wtrr kama sikosei.

bei yake inaanzia laki 150 hadi 120 kutegemea na uwezo wako wa ku-bargain.Bei hizo ni za mwaka jana mwezi wa Tisa.
Mwanza ni sh. 95,000/= karibu na vunja bei. Ni imara sana halafu hazina kelele.
 
Mvuke upo mh. lakini si muangalie maeneo yenye baridi mkaishi wapendwa?! Mnapenda sifa kusema naishi Dar mkija mikoani huku mvua ikinyesha kariakoo sokisi zinajaa vinyesi tupu. Njoo rock city ushindie ugali kuanzia lunch hadi dinner ukiwa na Wagosha wa ukweli.

Tena ukaishi maeneo ya Igogo kwenye 'flying toilets'.
 
Hata kariakoo zipo hzi feni mtaa wa Aggey maduka ya karibu na msikiti wa Qiblatain, chaguo lako sasa unataka za mlimani city ama za kariakoo?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom