Kabisa bro unanielewa vema kabisa. As we speak mwanamke mweusi wa kimarekani hakuna mtu anataka kuishi nae kama mke. Ni wanawake reject Duniani hakuna mtu anaweza settle nao.Hiyo kitu imea aim kubomoa msingi wa familia wa mtu mweusi ili iwe rais kutawalika.
Its similar thing walichofanya na black america kule Us, kubomoa msingi wa familia, familia ikishabomoka, prisons zitapata wateja. Itachukua time tena mtu mweusi kurudi kwenye hali yake
My point mzee. Kimsingi ni ideology ya kitapeli ambayo imetengenezwa kuwapumbaza wanawake na kuwatoa kwenye reli. Wanaume wengi wanaishabikia but hawajui ni utapeli. Wanawake wenye hiki kirusi vya Feminism (Fevidi) wanajua kuhusu huu ujumu na ndio maana wanachukia sana wakikuta mtu kama mimi au wewe tuna waexpose sababu tunawaamsha na kuwaelimisha wanaume wenzetu wastukie gemu walikatae.Kinacho nishangaza hizo haki wanazo dai ni kwenye haki za kupokea tu lakini haki za kuwajibika hizo huwezi kusikia wakuzidai.
Mfano utasikia wanadai haki za kufanya kazi na kupokea mishahara kama wanaume lakini huwezi kusikia wanadai haki ya kubeba majukumu ya kifamilia kama mwanaume.
Nje ya uwezo kivipi tena. Wewe unajua kataa ndoa imeanzaje? Sasa subirini endeleeni kuona hatujui tunachofanya,mtaomba maji huko mbeleni hadi mtaita Vatican waingilie.Wee ndo tayari ushakua mwehu, unahangaika na mambo yaliyo nje ya uwezo wako.
Poleee 😂😂😂😂😂😂😂
Hapo wanasema “imeandikwa, ni jukumu la mwanaume kuhudumia”Kinacho nishangaza hizo haki wanazo dai ni kwenye haki za kupokea tu lakini haki za kuwajibika hizo huwezi kusikia wakuzidai.
Mfano utasikia wanadai haki za kufanya kazi na kupokea mishahara kama wanaume lakini huwezi kusikia wanadai haki ya kubeba majukumu ya kifamilia kama mwanaume.
Ndio maana nikasema kwenye moja ya reply zangu hapa kuwa shida kubwa ni elimu.Unapozungunzia masuala ya feminism, na drama zingine zihusuzo, acha kuingiza ushoga au mashoga, hawahusiki na hilo kabisaa.
Nitakuuliza swali hilo hilo kwani ni lazima kuishi mwenyewe kwenye jamii ambayo kila mtu anatakiwa kuwa kwenye ndoa na familia yake? Kama haujui maana ya jambo usifosi mjadala na hakuna unachofahamu.Kwani lazima kuoa au kuolewa? Au lazima unachotaka wee ndo na wengine wafanye? Em stick na life lako bhana, kutwaa kujaza server na hizo essay zako, na bado hao unao wapigania hawakuelewi.
Niane ,so u think i am here for attention and find a lover, seriously?🤔Wee si utafute mwanamke unayeona anakufaa ishi nae, hawa wengine waache wajipambanie wenyewe, wee vipi?
Zungumzia masuala uyatakayo, ila usihusishee ushoga kabisaa, khaaaaah.
😂😂😂😂Hivi umeona mawazo yake sasa,huwa anapenda kujipiga risasi za mguu mwenyewe halafu ukimuuliza kwann kajilenga mwenyewe anakulazimisha kuwa risasi amekulenga wewe na imekupata wakati yeye ndie anavuja damu kwenye jeraha alilojilipua mwenyewe 😂😂😂Kwa hiyo kumbe wanawake wa siku hizi wana akili ndo maana wamekuwa wazinzi, masingo mother na wamekuwa na viburi ,hizo ndo akili unazo ziongelea?
Kama una watoto wa kiume subiri wakue wakutane na mijambazi iliyo lishwa mawazo ya kifenist iwapige matukio ndo utaelewa ubaya wa hawa wapuuzi.
Mama zetu walishika hela miaka ya nyuma na kuhudumia familia pale baba alipokwama. Si kwamba baba zetu hawakuwa wakifeli kiuchumi ila ni kwasababu mama zetu walisimama na wanaume zao wakiwajibika kama mama wa familia sio supawoman.Pesa imehubiriwa kama bidhaa inayomkamilisha jisia ya kike dhidi ya kiume!!
Pesa inahubiriwa kwamba ndio mbadala wa wanaume kwenye jamii!na mwanamke asie na pesa ni mdhaifu lazima aongozwe na mwanamme na mwanamke Alie na pesa lazima ajiongoze ikiwezekana amuoe na kumuongoza mwanamme!!
Elimu ya pesa kwa wanawake itolewe kwamba pesa sio substitute ya uanaume!!
Sisi ambao tulianza maisha na WA awake wasio na KAZI au pesa baadae wakazipata tukiwa nao tuna meeengi ya kusimulia!
Kwamfano"!NAJUA NI AKAUNTI YANGU NDIO INAKUCHANGANYA COZ ULIZOEA KUISHIKA AKAUNTI YANGU!!!
Mwanamke anakutamkia hayo mbele ya watoto na jamii!unaweza kupata nguvu ya kumtomba na kumuongoza mwanamke wa hivyo!!!?
Pesa pesa pesa sio feminine no elimu mbovu kuhusu pesa!!na wengi wao hawajui pesa ni matokeo tu zinaweza zikajaa pia zinaweza kupeperushwa na upepo pia!!
Ulifanya utafiti au unakurupuka kiandika tuJe, mwaka 1947 jamii ya mtanzania ilikuwa hovyo ukilinganisha na ya sasa ya 2024, hivi unaweza ukasimama kabisa mbele ya umati wa watu useme kuwa jamii ya mtanzania ya sasa ime improve eneo la ustawi wa jamii?
1. Ushoga na wasagaji
2. Masingle mothers
3. Marioo na wadangaji
4. Watoto wenye baba watatu kwa wakati m'moja
5. Kutawanyika kwa familia ya baba mama na watoto.
6. Watoto wasiojua ibada ya msikiti wala kanisa
7. Wanawake wasiojua majukumu yao hadi wakiolewa wanakuwa viwete wa majukumu bila msaada wa House girl.
Hivi wewe unajua hata unachokisema wewe?
Unajua utakuja kuugua wehu wewe mtoto wa mzee fulani wewe.
Ulichosoma kama haujakielewa it means haupo kwenye ardhi ya dunia hii pengine mwenzetu ni alien wa kutoka Uranus.Ulifanya utafiti au unakurupuka kiandika tu
Mzee nimekuomba hela,au kuna bills zangu unanilipia halafu sijajua kama hela unatoa wewe mzee?😂😂😂 Kuwa na heshima basi japo hata kwa wanaume wenzako tukiacha matajiri na mabosi zako.
Moja wapo ya sababu ktk hizo asilimia 116.Kwanza ifahamike kwamba neno feminism lina tokana na neno feminine ambalo ukiperuzi maana yake utakuta ni “having characteristics that are traditionally thought to be typical of or suitable for a woman” na pia utaweza kukutana na maana ikisema “describes qualities, appearances, or behaviours typically associated with women or girls”. Katika hizi maana mbili utaona kwamba neno feminine (adjective) ambalo linatokana na jina (noun) Female limelenga kumtambulisha mwanamke kwa sifa zake za kike kinyume na shughuli za mafeminists wengi wa hovyo kama Jadda et al ambao humtambulisha mwanamke kwa sifa za kiume.
Ukiingia mtandaoni ukatazama maana ya neno “feminist’ na “Feminism” utakutana na maneno kama haya: “a feminist is someone who supports equal rights for women” au “a feminist is a socio-political movement advocating for the equality of the sexes, believing modern societies are patriarchal and unjustly treat women.
Kwa mtu mwenye utimamu wa akili akitazama tu hizi maana yaani maana ya neno jina na neno kitendo haviendani hata kidogo. Yaani kwa asili neno female lina maana ya “wa kike” au “ya kike” lakini iweje tena movement yake yaani feminism iseme ni harakati za kumfanya mwanamke alingane na mwanaume na kuacha asili yake kudai haki za kiume, sawa na mwanaume bila kutumikia au kuwa na wajibu sawa na mwanaume? Make this make sense ndugu zanguni. Ni kichaa tu ambaye ataona hili jambo limekaa sawa sawa na hallina dosari yoyote ya kimantiki.
Hivi kama wanajamii tumeshawahi kujiuliza maswali magumu kama ni haki zipi ni za mwanamke? Au tuhoji hivi, mwanaume ana haki zipi za kimsingi na mwanamke ana haki zipi za kimsingi?
Je, kama mwanaume anapendelewa kihaki je, anapendelewa katika maudhui yapi ambayo mwanamke anaminywa?
Hivi tumeshawasikiliza kwa umakini wanawake wanacholalamika na matakwa yao (sio mahitaji) then kuwatazama wanachokifanya katika uhalisia wakishapewa fursa wanazotaka?
Mimi siungani na hii movement na nina ipinga kama movent haramu kwenye jamii na yeyote anayeisapoti pia anakuwa ni haramu katika hii jamii kushinda hata dawa za kulevya maana dawa za kulevya hazijaleta madhara mabaya kushinda feminism ndani ya muda mfupi.
Unawezaje kuwa na harakati batili inayojinasibu kuwa ipo kulenga kumtetea na kumkomboa mwanamke ila kiuhalisia ime target kushape akili za wanawake kuwa negative katika jamii yao na kuwageuza kuwa kansa ya kuiharibu jamii hiyo hiyo huku kikiacha u’hovyo wa kila aina.
Hebu mtu aniambie faida za feminism na matokeo yake tokea imekuwa introduced miaka ya 1990s?
Ni muda sasa kutambua feminism kama harakati haramu kwa jamii na tuanze kuikemea kwa nguvu zote.
Nimeona pale chou kikuu UDSM wame introduce masomo ya femism ili kuwajaza ujinga mabinti na vijana wetu ambao wanakwenda kupewa elimu ya kuikomboa jamii yao na sio kuigawa katika makundi ya jinsia.
Kama tutaendelea kukaa kimya then tutarajie maasi zaidi kama yanayotokea huko mataifa ya magharibi kama USA, CANADA na United Kingdom ambayo kwasasa yanapitia mvurugiko mkubwa sana wakijamii kwasababu ya uzembe wa kuendekeza ideology za kipumbavu kama feminism katika jamii zao na matokeo yake zimeparanganyua kabisa ustawi na jamii sasa haieleweki ina uelekeo upi.