shangwe shangwe
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 108
- 24
Huyo dogo noma,alimgaragaza milionea Jamar Tamimu tajiri la kibondo (ccm) kuanzia kwenye uchaguzi hadi mahakamani.Big up dogo!
Tatizo la huyu ni kila anapotaka kujenga hoja kujitapa kuwa alipata Div. I ya digrii ya sheria! Namkumbusha kuwa Div.I aliyopata isiwe nguvu ya hoja ya kutaka mawazo yake yakubaliwe!
Kuna wengi ambao wahakufanikiwa kupata Div. I au kuwa na elimu ya chini kuliko yake lakini wanajenga hoja za nguvu katika kutetea wananchi wao na maslahi ya Taifa!
WANI zina utofauti wake mkuu kuna ile ya 7 na ya 17 ya vilaza. ha ha haTatizo la huyu ni kila anapotaka kujenga hoja kujitapa kuwa alipata Div. I ya digrii ya sheria! Namkumbusha kuwa Div.I aliyopata isiwe nguvu ya hoja ya kutaka mawazo yake yakubaliwe!
Kuna wengi ambao wahakufanikiwa kupata Div. I au kuwa na elimu ya chini kuliko yake lakini wanajenga hoja za nguvu katika kutetea wananchi wao na maslahi ya Taifa!
2015 jimba la zito atachukua mwalimu wake wa siasa YARED FUBUSA subiri Tundu lisu no 2
Nakuunga mkono kuwa tunahitaji vijana wetu kusoma sana ili taifa liondokane na ujinga!Kijana FELIX anayyo sio wote walipata,yaani yeye ni mtu makini na tofauti,sio zile One za kuiba pepe za wengine siku hizi,Mimi namuunga Mkono kujisifia ndio kujiamini,katika hadhara lazima ujiamini,Hata mie niliipata sekondari na nipo mbaliii,kimaisha...Elimu ndio ufunguo..,na ni wa huko Kigoma pia,Mie nawaambia waha wote WASOME SAAANA,familia ni maskini,mkoa ni maskini..ILI HATIMAE TUINUE MKOA WETU...HONGERA SANA MKOSAMALI.
![]()
Felix Francis Mkosamali, Mbunge wa Jimbo la Muhambwe kwa tiketi ya Chama cha NCCR-Mageuzi, ni mbunge mdogo wa Jimbo katika Bunge la sasa, ambapo ana miaka 27.
Mwanasheria Msomi kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino kilichopo jijini Mwanza.
Kijana huyu mbunge aliweza kugombea na kupata jimbo la Muhambwe kwa kutumia fedha alizokopeshwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu kumsaidia kuzunguka huku na kule ili kuwafikia wapiga kura. Pia
fedha nyingine zilizomsaidia wakati wa harakati za kampeni alizipata kwa kufundisha katika shule ya sekondari ya wasichana Boniconcili, ambapo alikuwa mwalimu wa muda (Part Time).
Pamoja na kuingia bungeni kwa taabu kijana huyu tunamwona kila siku anavyojitahidi kuisimamia serikali bila woga kwa kuchangia hoja zenye mashiko na kuonesha upeo wa kisomi katika uchangiaji hoja kwa nidhamu ya hali ya juu.
Somo (case study) kwa vijana kutoka kwa Mkosamali :
1. Siku zote penye nia pana njia. Pamoja na kidogo ukipatacho ukiwa na nidhamu na malengo dunduliza utimize
malengo yako. Kwani haba na haba hujaza kibaba.
2. Acha maisha tegemezi na uangalie fursa ulizo nazo uzitumie ili kutimiza malengo yako. i.e kama una kipaji
chochote jitahidi kukifanyia kazi na usibweteke
3. Woga ni dhambi kubwa sana, siku zote usitishwe na kitu chochote unapokuwa umesimamia ukweli, jidhihirishe wazi
nia yako na tetea haki yako bila kusaliti wenzio. Kumbuka kuwa mzalendo na kuitetea nchi yako kwani vijana ndio
watakaoleta mabadiliko katika nchi yetu. Naomba kuwakilisha.
Kujisifia sio vizuri katika maisha lakini wakati mwingine inategemea mtu anajisifia katika mazingira gani and for which purpose. Wakati anasema yeye alipata point 7 kwanza kama sikosei alitumia plural pronoun ya "we". 'Mpaka wengine tukapata point 7" na hapo alikuwa anamsifia Mama Ndalichako kwa kuweka reliable control mechanism kwenye mitihani kiasi kwamba hakuna leakage. Kwa hiyo kujisifia kwake kulikuwa compliance na hoja aliyokuwa anaitetea na context haikuwa kuwatukana labda ambao hawakupata one au kutokusoma maana alikuwa anaikemea serikali pamoja na wabunge wanaoshabikia kuwa elimu imeboreka wakati matokeo ni fragile and have exposed the government and its compatriots who have been blowing trumpets in the so called improvement and growth in education while they and theirs are not studying in the respective school. With this end in view huwezi kumwita Mkosamali dhaifuNakuunga mkono kuwa tunahitaji vijana wetu kusoma sana ili taifa liondokane na ujinga!
Hoja yangu hapa ni uwezo wake wa kujenga hoja kwa hekima na busara! Ili mtu ajiamini mbele za watu si lazima ajisifie bali watu wanaomsikiliza na kumuona wamsifie! Kwa kujisifu mwenyewe kunaonyesha udhaifu wako na kutojiamini na ndiyo sababu unalazimika kutangaza bila kuulizwa uwezo wako wa elimu, fedha na rasilimali zingine!
Kifupi naweza ku-conclude kuwa Mkosamali ni dhaifu!
Tatizo la huyu ni kila anapotaka kujenga hoja kujitapa kuwa alipata Div. I ya digrii ya sheria! Namkumbusha kuwa Div.I aliyopata isiwe nguvu ya hoja ya kutaka mawazo yake yakubaliwe!
Kuna wengi ambao wahakufanikiwa kupata Div. I au kuwa na elimu ya chini kuliko yake lakini wanajenga hoja za nguvu katika kutetea wananchi wao na maslahi ya Taifa!
Sawa....Ameingia bungeni akiwa 24 safi sana mkosamali cdm imejenga watu vizuri.
Kashapotea sijui mshara gani utakaomfaha maana kashazoea kula 12m per month.Sijamsikia kitambo sasa