Felix Christopher Mrema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Felix Christopher Mrema

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jul 4, 2008.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Former Deputy Attorney General who is now Member of Parliament for Arusha.

  When was he DAG? what did he do?

  EMPLOYMENT HISTORY
  Washington DC Tanzania Representative 1976 1981
  Attoney General Chamber Deputy Attoney General/Permanent Secretary
  LA Fleur D' Afrique Ltd-Arusha
   
 2. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  .... i hope hii haihusiani na wale "farasi wanne".... !!!
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Inasemekana eti yeye ni "Paulo Usije Kucheza na Sisi... Una...."
   
 4. J

  JokaKuu Platinum Member

  #4
  Jul 4, 2008
  Joined: Jul 31, 2006
  Messages: 12,734
  Likes Received: 4,958
  Trophy Points: 280
  Rev.Kishoka,

  ..wachumi na wataalamu wetu wa fedha wanaamini kwamba tutafaidika na 3% royalty na tax breaks za kila aina.

  ..hata tupate AG toka mbinguni bado hatuwezi kufaidika na rasilimali zetu ktk mazingira ya sasa.

  ..mwanasheria mkuu hapangi wala hapatani bei.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2008
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  ---kwa vile "walioogopa kuchafuliwa mikono" wametenda yote haya ndani ya miaka 6-7 iliyopita, je "paulo" alikuwa wapi na kwanini hakuweza hata "kuwarushia uchafu huo" walau kwa proxy...alimradi tu angewachafua na kuutaarifu ulimwengu kuwa kuna wenye mikono michafu pahala fulani?!
   
 6. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Joka agreed!

  Lakini je huyu alichafua lipi? Nakumbuka Ubunge kaenda 1995. Kuna tetesi kuwa alikuwa ndiyo kinara mkuu wa IPTL... kachonga mkataba, kajipatia zake chache kaenda kuwa Mbunge na kuacha kuwa AG!
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Paulo hutengwa kwa kuwa mikono yake ni michafu, suala ni wale waliomtenga walikuwa wapi wakakaa kimya? Au Paulo baada ya kuwa mchafu alitoweka kabla ya wimbo kushika momentum?
   
 8. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2008
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 0
  Mkuu Kishoka,

  Heshima mbele, hata mimi nasikia kuwa hata hii deal ya Richimonduli yeye ndiye architect na ndiye hasa masterminder wa IPTL, lakini amekuwa mjanja sana na ku-lay low na hakuna mwenye shida naye kabisaa kumba mambo yote yeye ndiye chanzo!
   
 9. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #9
  Jul 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,559
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  Mrema wa TANROADS ALIPO TETEWA NA JK KUWA ASIOGOPE KUITWA FISADI!

   
 10. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #10
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180

  Mushi,

  Nafikiri unachanganya machungwa na maharage. Hii thread ni kuhusu Felix Mrema ambaye alikuwa Mwanasheria Mkuu wa Tanzania na si Ephraim Mrema CEO wa Tanroads.

  Ya Mrema wa Tanroads yaache kule kwenye thread ya Tanroads na si kuyapandikiza mahali ambapo si pake!
   
 11. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  FMES,

  Huyu jamaa alitegemewa kuwa AG kamili baada ya Uchaguzi 1995. Lakini alikwenda na kugombea Ubunge Arusha Mjini na akaupata. Wakati Mkapa anajiandaa kuunda Baraza la Mawaziri, Mrema alitgemewa kwa AG au Waziri wa Sheria, lakini akapotea na kubakia kama Mbunge wa kawaida.

  He has gone quite out of the public fanfare, lakini kama ulivyosema, inasemekana yeye ndiye Architect Mkuu wa IPTL na si ajabu mkono wake ulitumika kwa Tanesco.

  Kwenye ripoti ya Brian Cooksey, anawataja Chenge na Maria Kejo-Ndosi kutoka ofisi ya AG, lakini Mrema's name never surfaces!
   
 12. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,559
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  NA PIA ULIYASEMA HAYA ULIPOMJIBU FMES...

  Wewe ni mmojawapo wa wale wanaofagilia UKABILA HAPA JF!

  Sasa kama unakiri kuwa hakutajwa kwenye source...Na huku ukikiri kuwa hakuwa AG...At the same time kuwepo na utaratibu mpya hapa jf wa kuyataja majina ya wachagga na kuwahusisha na UFISADI BILA KUJALI KUWA KASHFA HIZO ZIMEANZIA KWA WAISLAM WA ccm KINA IDDI SIMBA NA WAARABU WAKE,NA NYINGINE KUTOKA KWA WATOPU AMBAO HAWANA UISLAM WALA UCHAGGA!

  Sasa Na wewe pia ni shabiki la KUGANGAMALA NA HUYO YUSUPH MUSHI SIMPLY KWASABABU GANI?

  AMA UNATAKA KUSEMA KUWA SIR CHANDE NI FISADI MDOGO KULIKO HUYO MUSHI?

  NANI NI KINGPIN?

  Hawa Mrema wote ni mrema na wanahusiana politics zetu wakati wa kueleke a UCHAGUZI NA KAMWE SITORUHUSU UKABILA NA AMA UDINI UWAPOTOSHE WANANCHI!

  TUNATAKA UHURU...!

  NA SAA YA UKOMBOZI NI SASA!

  WE ARE PATIENTLY WANITING!

  WE THE PEOPLE SHALL OVERCOME!
   
 13. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Mushi,

  Ni wapi nimetetea Ukabila? Naomba kama kuna mahali nimeandika jambo kutumia Ukabila, uonyeshe umma la sivyo inabidi ukiri kuwa umenizushia jambo, hivyo wewe ni Muongo.

  Unamjua Yusuph Mushi au kwa kuwa ni Mchaga basi unafikiri kumzungumzia Yusuph Mushi ni Ukabila?

  Nakupa mtihani mmoja, google huyo Andy Chande wako, ukishapata majibu ya kuwa yeye ni nani East Africa, ndipo utapata jawabu kuhusu Yusuph Mushi kuletwa hapa na kuoanishwa na mambo ya Rotary na Lions Club.
   
 14. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Again the same JMushi takeover tactics of threads are emerging.

  Kwa nini usianzishe thread inayosema Maoni ya JMushi ukaandika kila unachotaka na kujijibu na kuacha Thread nyingine zisizuhusiana na mambo unayoyataka ziendelee kivyake vyake?
   
 15. jmushi1

  jmushi1 JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 17,559
  Likes Received: 1,916
  Trophy Points: 280
  WEWE Ulishasema kuwa AG alikuwa CHENGE...AT THE SAME TIME...Kusema kuwa hakupewa u AG na MKAPA..Sasa kwanini usianzishe thread ya CHENGE AMA KUDAI RIPOTI ZISOMWE BUNGENI NA SI KUFLOOD JF NA MITHREAD YA UKABILA NA UDINI?
  ATISHI NYAU HAPA!
  UNAJUWA NILIKOTOKEA NA USIJARIBU KURUDI HUKO!
  WE KAZI YAKO KUANZISHA THREADS ETI REV MNAMTAFUTA!
  WAKUTAFUTE WA NINI NA WAKATI SERA ZAO ZA UKABILA UNAZIENEZA NA CHUKI ZAKO ZA WAZI?
   
 16. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #16
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Tatizo lako ni kukurupuka bila kusoma na kuelewa unachosoma. Ma auna uwezo mdogo sana wa kuelewa mambo au umejaa jazba ambazo huna uwezo wa kuzidhibiti.

  Sijafanya jambo hata moja a Ukabila au Udini. Kama una Ushahidi, ulete hapa jamii iamue.

  Kama huna ushahidi ni uzushi wako, basi uombe radhi kwangu na Jamii nzima kwa Uzushi, Kupotosha na Kusema Uongo!

  Nimesema wakati wa Uchaguzi 1995, ilitegemewa Mrema angepewa u-AG kwa kuwa yeye ndiyo alikuwa Senior AG deputy. Akagombea Ubunge Arusha Mjini, watu tukamtegemea angekuwa Waziri wa Sheria kwa kuwa sasa ni Mbunge.

  Hakupewa Uwaziri au U-AG, na kuishia kuwa Mbunge wa Kawaida.

  Brian Cooksey aliandika kuhusu IPTL before Mrema hajaanza kuwa assosiated na the whole scandal.

  Haya yalitokea kabla ya tuhuma za yeye Mrema kuwa kinara mkuu wa ile issue ya IPTL kuanza kutoka.

  Ni wappi nimeleta Ukabila au Udini kwenye hii mada?
   
 17. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #17
  Jul 5, 2008
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Mushi1,'
  Mimi namfahamu Reverend. Hana hata chembe moja ya ukabila. Soma tena threads zake kwa makini.
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2008
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,470
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Jasusi,

  Alishaniita Fisadi, sasa Mkabila na Mdini, mwisho ataniita Shetani, nangojea kuota mkia na mapembe!
   
 19. Brutus

  Brutus Senior Member

  #19
  Jul 6, 2008
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 174
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Guys!
  Hivi hatuwezi kujadiliana kwa amani bila kushambuliana?
   
 20. S

  Silas A.K JF-Expert Member

  #20
  Jul 6, 2008
  Joined: Apr 23, 2008
  Messages: 807
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Nimeanza kupata mwanga kwamba kuna wakati kwa makusudi kabisa kuna baadhi ya wana JF hufanya makusudi kabisa ku-divert attention kutoka kwenye mada ambayo inazungumziwa ili pengine kujaribu kuivuruga mada husika.Wakati mada inamhusu Felix Mrema (Mb) mtu unanzisha mada isiyohusiana na hiyo.Its really disgusting.Nashukuru kwamba mhusika wa kuharibu mada amepewa onyo.Si vyema pia kutoa tuhuma zisizo na ushahidi kwa mtu wa calibre ya Rev.Kishoka ambaye michango yake inaheshimika na wanaJF wengi. Naomba tusifadhaike pale inapotokea kwa makusudi kabisa mtu au kikundi cha watu wanapopandikizwa kuharibu mijadala yenye manufaa katika harakati za kupambana na kufichua ufisadi kokote ulikojificha.
   
Loading...