Félicien Kabuga: Mnyarwanda aliyewatesa majasusi wa Kifaransa kwa miaka 26

Anaitwa Félicien Kabuga alikuwa ni mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda kabla ya kufanyika kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Alizaliwa katika eneo la kaskazini mwa Rwanda ambako alijilimbikizia mali kutokana na biasahara ya majani ya chai miaka ya 1970 na kuwekeza katika biashara tofauti nchini humo, mataifa jirani na ng'ambo. Alikuwa mwandani wa karibu wa chama tawala cha MRND na baba mkwe wa Rais Juvénal Habyarimana.

Kabuga anayetuhumiwa kuwa mfadhili mkuu wa mipango ya kutekeleza mauaji ya kimbari, alikuwa mmliki wa kituo cha radio ya kibinafsi RTLM ambacho kililaumiwa kwa kuwahamasisha watu wa jamii ya Kihutu kuwaua wenzao wa Watutsi.

Kutokana na utajiri wake na connection ulimwenguni, baada ya mauaji ya kimbari Kabuga alitoroka Rwanda na kukimbilia Ulaya, alijificha Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa, akatimia ujasusi kubadili majina yake na mambo kadhaa ya kibaolojia katika sura yake. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Ufaransa, Ubelgiji na kwingineko, waliweka madau makubwa kwa yeyote atakayefanikiwa kukamatwa kwake, lakini ilishindikana kwa miaka 26.

Mwamba huyu ameichezesha dunia vilivyo, ameweza kujificha kwa miaka 26 tangu mauaji hayo, ambapo 15/5/2020 usiku, Shirika la Ujasusi la Ufaransa lilifanikiwa kumkamata akiwa tayari ni mzee kikongwe wa miaka 84 sasa, yaani akiwa ni wakuanika na kumwanua juani, anatembelea kiti tu mjini Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa.

Hebu fikiria shiirika la Ujasusi Ufaransa la DGSE linalosifika kwa ujasusi ulimwenguni ambalo lilifanikiwwa kumkamata Carlos Ramirez Sanchez 1994 nchini Sudani. Lakini limecheza kwa miaka 26 kufanikiwa kugundua mtu kama Félicien Kabuga ambae alikuwa kajificha ndani ya Ufaransa hiyo hiyo.

Anaweza kuletwa mjini Arusha, Tanzania katika mahakama ya kimaita inayosikiliza kesi za mauaji ya Kimbari.
Punguza WIZI WA ELIMU...
Unapo "PASTE" andiko usisahau Ku "CITE""

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Ufaransa hawakutaka tu kumtoa. Kumbuka Ufaransa walikuwa Pro Hutu ili kuendelea kuconserve Lugha ya kifaransa. Naona Macron anataka uhusiano mzuri na Rwanda ndo maana wameamua kumtoa tu sasa. Kama haujui France walisaidia pia ile genocide.
 
Anaitwa Félicien Kabuga alikuwa ni mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda kabla ya kufanyika kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Alizaliwa katika eneo la kaskazini mwa Rwanda ambako alijilimbikizia mali kutokana na biasahara ya majani ya chai miaka ya 1970 na kuwekeza katika biashara tofauti nchini humo, mataifa jirani na ng'mbo. Alikuwa mwandani wa karibu wa chama tawala cha MRND na baba mkwe wa rais Juvénal Habyarimana.

Kabuga anayetuhumiwa kuwa mfadhili mkuu wa mipango ya kutekeleza mauaji ya kimbari , alikuwa mmliki wa kituo cha radio ya kibinafsi RTLM ambacho kililaumiwa kwa kuwahamasisha watu wa jamii ya Kihutu kuwaua wenzao wa Watutsi.

Kutokana na utajiri wake ns connection ulimwenguni, baada ya mauaji ya kimbari Kabuga alitoroka Rwanda na kukimbilia Ulaya, alijificha Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa, akatimia ujasusi kubadili majina yake na na mambo kadhaa ya kibaolojia katika sura yake. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Ufaransa, Ubelgiji na kwingineko, waliweka madau makubwa kwa yeyote atakayefanikiwa kukamatwa kwake, lakini ilishindikana kws miaka 26.

Mwamba huyu ameichezesha dunia vilivyo, ameweza kujificha kwa miaka 26 tangu mauaji hayo, ambapo juzi 15/5/2020 usiku, Shirika la Ujasusi la Ufaransa lilifanikiwa kumkamata akiwa tayari ni mzee kikongwe wa miaka 84 sasa, yani akiwa ni wakuanika na kumwanua juani, anatembelea kiti tu mjini Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa.

Hebu fikiria shiirika la Ujasusi Ufaransa la DGSE linalosifika kwa ujasusi ulimwenguni ambalo lilifanikiww kumkamata Carlos Ramirez Sanchez 1994 nchini Sudani. Lakini limecheza kwa miaka 26 kufanikiwa kugundua mtu kama Félicien Kabuga ambae alikuwa kajificha ndani ya Ufaransa hiyo hiyo.

Anaweza kuletwa mjini Arusha, Tanzania katika mahakama ya kimaita inayosikiliza kesi za mauaji ya Kimbari.

Bado haujachelewa, pata kitabu cha Ujasusi kwa ofa ya Karantini ya #CORONA kwa 25,000/= badala ya bei halisi ya 80,000/=,

Lipia 25,000 kwa 0715865544 au 0755865544 (Yericko Nyerere) kisha tuma majina yako na mahali ulipo, kitabu kitaletwa ulipo.
Nje ya Dar nauli ni 8,000/=

View attachment 1453697
Mkuu next month lazima nijichukulie kopi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa Félicien Kabuga alikuwa ni mfanyabiashara maarufu nchini Rwanda kabla ya kufanyika kwa mauaji ya kimbari ya mwaka 1994.

Alizaliwa katika eneo la kaskazini mwa Rwanda ambako alijilimbikizia mali kutokana na biasahara ya majani ya chai miaka ya 1970 na kuwekeza katika biashara tofauti nchini humo, mataifa jirani na ng'ambo. Alikuwa mwandani wa karibu wa chama tawala cha MRND na baba mkwe wa Rais Juvénal Habyarimana.

Kabuga anayetuhumiwa kuwa mfadhili mkuu wa mipango ya kutekeleza mauaji ya kimbari, alikuwa mmliki wa kituo cha radio ya kibinafsi RTLM ambacho kililaumiwa kwa kuwahamasisha watu wa jamii ya Kihutu kuwaua wenzao wa Watutsi.

Kutokana na utajiri wake na connection ulimwenguni, baada ya mauaji ya kimbari Kabuga alitoroka Rwanda na kukimbilia Ulaya, alijificha Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa, akatimia ujasusi kubadili majina yake na mambo kadhaa ya kibaolojia katika sura yake. Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu wa Kivita, Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, Ufaransa, Ubelgiji na kwingineko, waliweka madau makubwa kwa yeyote atakayefanikiwa kukamatwa kwake, lakini ilishindikana kwa miaka 26.

Mwamba huyu ameichezesha dunia vilivyo, ameweza kujificha kwa miaka 26 tangu mauaji hayo, ambapo 15/5/2020 usiku, Shirika la Ujasusi la Ufaransa lilifanikiwa kumkamata akiwa tayari ni mzee kikongwe wa miaka 84 sasa, yaani akiwa ni wakuanika na kumwanua juani, anatembelea kiti tu mjini Asnières-Sur-Seine nchini Ufaransa.

Hebu fikiria shiirika la Ujasusi Ufaransa la DGSE linalosifika kwa ujasusi ulimwenguni ambalo lilifanikiwwa kumkamata Carlos Ramirez Sanchez 1994 nchini Sudani. Lakini limecheza kwa miaka 26 kufanikiwa kugundua mtu kama Félicien Kabuga ambae alikuwa kajificha ndani ya Ufaransa hiyo hiyo.

Anaweza kuletwa mjini Arusha, Tanzania katika mahakama ya kimaita inayosikiliza kesi za mauaji ya Kimbari.
Swala la Rwanda na Genocide lina usiri mkubwa ambao hauwekwi wazi. Hao wafaransa ndio walikuwa wanafadhili vikosi vya kijeshi/ mauwaji vya serikali ya Habyalimana Juvernali. Wahalifu wpte hujificha hulo ufaransa. So walimficha wao huyo Felician.

Mbona Kagame hawamkamati??
 
Back
Top Bottom