Enyi mabinti na kina mama mnaosoma vyuoni dawa pekee ya kupunguza kama sio kumaliza tatizo la usumbufu wa walimu wakware ni kusoma kwa bidii na kuacha mara moja kupenda dezo dezo. Ukifaulu vizuri mwalimu hawezi kukufelisha kwa maana akifanya hivyo na wewe ukalalamika na mtihani kusahihiswa upya huyo mwalimu atauumbuka. TAFADHALI MABINTI MNAPOKUWA VYUONI/MASHULENI SOMENI KWA BIDII SANA.Ujinga mtupu huo, Barongo hawezi shika mdada aliyefaulu na mwenye bidii....shida ni dada zetu wanapenda digrii za kwenye chupi!! Watoto hawajitumi kwenye masomo wakifeli oooohhh mwalimu anannitaka wizi mtupu huu.....we call it academic wanking!
Huyu Lecturer nilishawahi kumsikia pia, alikuwa kwa muda ktk moja ya vyuo vya Tumaini na walimuondoa kutokana na kuomba rushwa ya mapenzi kwa wanafunzi na ni wanafunzi ndio waliolalamika kwa utawala wao mpaka akaondoshwa.
Jamani mzumbe hayo mambo yapo na hayakuanza leo toka siku nyingi sana.....waliosoma mzumbe mpo?ebu tusaidiane katika hili.
Jamani hata mie nimesoma hapo mzumbe, barongo sdhani kama anatoa test ngumu, actully ni mwalimu ambaye yuko fair, sijawahi kufail somo lake, sijawahi kupata tabu yoyote, labda kwa sababu sivutii. but nachojua ni mchangamfu, anaongea na kila mtu, anasikiliza. Nadhani matatizo ya watu wengi wanaokimbilia kusoma masters huku vichwa vibovu, wana majukumu ya familia na kazi, wanaishia kuwa stressed na kushindwa masomo. Can you imagine mtu anafeli test ya maswali matatu achague moja, au maswali matano achague mawili, they cant be serious.Ujinga mtupu huo, Barongo hawezi shika mdada aliyefaulu na mwenye bidii....shida ni dada zetu wanapenda digrii za kwenye chupi!! Watoto hawajitumi kwenye masomo wakifeli oooohhh mwalimu anannitaka wizi mtupu huu.....we call it academic wanking!
Jamani hata mie nimesoma hapo mzumbe, barongo sdhani kama anatoa test ngumu, actully ni mwalimu ambaye yuko fair, sijawahi kufail somo lake, sijawahi kupata tabu yoyote, labda kwa sababu sivutii. but nachojua ni mchangamfu, anaongea na kila mtu, anasikiliza. Nadhani matatizo ya watu wengi wanaokimbilia kusoma masters huku vichwa vibovu, wana majukumu ya familia na kazi, wanaishia kuwa stressed na kushindwa masomo. Can you imagine mtu anafeli test ya maswali matatu achague moja, au maswali matano achague mawili, they cant be serious.
Halafu wadada wengine ndo wanapenda kuchekacheka sana na walimu, au niseme wanawatega walimu, kila saa hata unnecesarily utakuta mtu anajipeleka kwa mwalimu ooh, hapa sijaelewa, unielezee tena yani full mishauo, wataacha kutongozwa? have some respect for yourself ladies and stop whining, you are all grown ups, si hata undergraduate.
huyu mzee awekewe mtego!kuna mwalimu (lecturer) wao Dr Felician Barongo ambaye anafundisha masomo ya Human resource Management,anawasumbua sana kiasi cha kuleta kilio kwa mabinti wanaochukua masomo hayo katika chuo hicho
you nailed it! waache kumlalamikia barongo na wakati wanajipeleka wenyewe. si ******* yule so it logical kuwakamua mkijipeleka kwake ovyo.Jamani mimi nimemaliza pale hamna kitu kama hicho pale chuoni, Dr. Barongo hana ubavu wa kumfelisha mtu. Kwanza karibu masomo yote yanafundishwa na mwalimu zaidi ya mmoja. Halafu kuna uongozi wa wanafunzi ambao upo strong sana, kuna senate na hata walimu ambao wanatoa ushirikiano sana. Mimi sikubaliani na hii hoja, watu wengi wanaosoma pale tayari ni watu wazima tusidanganyane eti Barongo anaweza kumlazimisha mtu atoe penzi ili apate maksi jamani women we have to stop this nosense. Halafu Dr. Barongo ndio mwalimu pekee aliye na mitihani rahisi kuliko wotee ha ha ha ha usinichekeshe. Anapenda kucheka, jokes km mwanamke na wewe utajichekesha umekwishaaaaaaaa atakula kweli lakini sio kwa kukufelishaa noooo. Acheni lawama zisizo na msingi jamani, women let be strong, tusome kwa bidii ili tufanye vizuri kwenye mitihani yetu hamna mtu anayeweza kukubabaisha eti kwa kutaka penzi ataanzia wapi?mtu umeolewa au u msichana tu na heshima zako, unafaulu mitihani yako, unajiheshimu na kuwaheshimu wenzako, unajua sheria na unajua kilichokuleta pale chuo huyo hujichekeshi na kuwapa hao kina watu km kina Barongo mihemuko,ataanzia wapi??tet tet tet wanawake tutafute solution wenyewe kabla ya kuanza kulia lia kwa watu ili kuonewa huruma kwa kutuma hii post.
Mzumbe chuo cha magumashi sana,vilaza wengi sana wanakimbilia huko ili wapate degree za bwelele,matokeo yake walimu wanatake advantage kwa vilaza wasiojiamini.
Kama kweli mnajiamini kuwa mnaweza kusoma na kufaulu bila magumashi kwanini umuhofie mwalimu mwenye tabia hiyo?
Kama una akili na uwezo darasani hakuna tatizo. Barongo safi sana na ni rafiki yangu.
Acheni udaku