Feisal Salum analala usingizi kweli?

Dogo Allan Okello ni mpambanaji sana kwenye hizi siku za karibuni ukimlinganisha na maproo wengine mfano Pacome.
 
Feitoto ana 14 tayariiiiii.
Kinachojalisha hapa ni spidi ya kufunga magoli. Msimu mzima wewe una magoli 14 wakati mwenzio ndani ya nusu msimu tu ana magoli 11, lazima moyo ukudunde kwa kasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…