Messier 31
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 477
- 1,205
nataka kuagiza vitu toka aliexpress ila bado sijafungua anuani yangu. naomba kwa anaye juua ada za posta anijuze
Mwazoni ni kama 50,000+ ila baada ya hapo malipo kwa mwaka ni madogo sana.... Nakushauri kama unaharaka utumie anuani ya mtu mwenye box tayari huku ukifuatilia lakwako.nataka kuagiza vitu toka aliexpress ila bado sijafungua anuani yangu. naomba kwa anaye juua ada za posta anijuze
dah!, asante mkuu, itabidi nitafute kwanza mwenye box maana mzigo ni wa harakaMwazoni ni kama 50,000+ ila baada ya hapo malipo kwa mwaka ni madogo sana.... Nakushauri kama unaharaka utumie anuani ya mtu mwenye box tayari huku ukifuatilia lakwako.
Ulifanikiwa?dah!, asante mkuu, itabidi nitafute kwanza mwenye box maana mzigo ni wa haraka