Katunge World Wide
JF-Expert Member
- Apr 27, 2022
- 235
- 324
- Thread starter
- #81
Zamani nilikuwa nawaona watu wanaojinyonga kwa sababu ya mapenzi ni wajinga ila toka nimekutana na dear KATUNGE nimegundua mapenzi ni matamu saana akiniacha nitafanya maamuzi ya kushangaza ulimwengunyie ndo mnajinyongaga sometimes