Feelings to my Katunge

Huo ni mkono wa mwanamke anae uza mkaa

Hapo kapendeza jioni ya jana tu
 
Sasa hapa anakoshaje papuchi!? Kwa kucha hizi

Yote kwa yote, pole mzee, ila ukiwa na moyo huu utakufa mapema,
Kabla kupenda inabidi uwe umepitia stress za kubet miaka mi5, uwe umependa kidhati timu mbovu kama arsenal yangu, man u n.k ukimaliza hapo ndio uingie kwenye mahusiano na sio kupenda, narudia tena UINGIE KWENYE MAHUSIANO NA SIO KUPENDA.
 
Mm ni shabiki wa Manchester United nilianza kuishabikia mwaka 2005 then nikaacha kuishabikia kipindi kocha akiwa ni Louis van Gal

Niacheni nipende siwezi achwa
 
Mm ni shabiki wa Manchester United nilianza kuishabikia mwaka 2005 then nikaacha kuishabikia kipindi kocha akiwa ni Louis van Gal

Niacheni nipende siwezi achwa
Kama uliweza kuacha kushabikia Manchester kisa inafanya vibaya kipindi cha van gal basi we hupaswi kupenda, hebu subiri kwanza kijana, stress za mpira zimekushinda ndio utaweza mapenzi wewe
 
Kama uliweza kuacha kushabikia Manchester kisa inafanya vibaya kipindi cha van gal basi we hupaswi kupenda, hebu subiri kwanza kijana, stress za mpira zimekushinda ndio utaweza mapenzi wewe
Mapenzi naweza kwa sababu nimempata KATUNGE malaika katika umbo la binadamu nafurahia nae maisha
 
Seat ya mbele

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…