Kwa mtazamo wangu hafifu my dear naona huyo bwana yote hiyo ni defensive mechanism.
Sawa inawezekana alilazimishwa kumuoa huyo bibie nae akakukubali ila akaendeleza mapenzi na kipenda roho chake.
Sasa kisa cha kumleta huyo sweet wake kwenye nyumba anayoishi na mkewe ni kipi.
Si angeendelea kuonana nae huko huko alipokuwa anaishi mwanzo.
Huyo bwana si mstaarabu hata kidogo na kit.o.m.b.I tu hana lolote
Narejea kauli ya The Boss ukimuendekeza huyo utakuwa mke wa tatu.
Na kama anajua mkewe anajua mkanda mzima anaogopa nini mpaka akuombe ubadilishe story. Anakutega huyo asije akakubadilishia kibao kwa mkewe kuwa ulikuwa unamtaka ndio maana ukataka kuwagombanisha...
HALAFU WANAWAKE WENGINE??
mie huyo kimada anayekaa kwenye nyumba ya mwenzie bila aibu simuelewi hata kidogo.
cc Munkariukiwa mjini hivi huwezi kujua hali ilvyo huko ukuryani yaani unaambiwa huko mwanamke asiye tahiriwa si mtu na wanadai anatengwa kabisa.
NIULIZE MIMI NILIYEZALIWA HUKO KUKULIA HUKO SHULE HUKO KAZI KWINGINE HATA KURUDI TU SITAKI WALE WASIOFANYIWA FGM HAWATHAMINIWI TENA NIMEKULIA NA KUSOMEA INTERIOR UKITAKA ZAID NITUMIE PM NIKUPE FULL DATA MPAKA PICHA UKITAKA NINAZO!!!!!!!!!:A S 2152:
hivi hizi ngo's mbona sinaishia mijini tu. yaan huko vijijini wanahitaji elimu sana. kuna mila zao nyigi tu si za kiungwana.
Hizo NGO'S nyingi ni miradi ya "vigogo" ambayo lengo lake kuu si kumkwamua mwananchi bali kuchumia matumbo yao. Wanawake wao wenyewe wanaotendewa ukatili huo wanapaswa kusoma kwa bidii na kuanza toa elimu kwa ndugu na jamaa zao huko vijijini.
Hivi ni wakurya tu ndiyo wanaotahiri wanawake???Mbona kuna baadhi ya makabila mengine yanafanya hivyo pia!!?????
Kwa mtazamo wangu hafifu my dear naona huyo bwana yote hiyo ni defensive mechanism.
Sawa inawezekana alilazimishwa kumuoa huyo bibie nae akakukubali ila akaendeleza mapenzi na kipenda roho chake.
Sasa kisa cha kumleta huyo sweet wake kwenye nyumba anayoishi na mkewe ni kipi.
Si angeendelea kuonana nae huko huko alipokuwa anaishi mwanzo.
Huyo bwana si mstaarabu hata kidogo na kit.o.m.b.I tu hana lolote
Narejea kauli ya The Boss ukimuendekeza huyo utakuwa mke wa tatu.
Na kama anajua mkewe anajua mkanda mzima anaogopa nini mpaka akuombe ubadilishe story. Anakutega huyo asije akakubadilishia kibao kwa mkewe kuwa ulikuwa unamtaka ndio maana ukataka kuwagombanisha...
HALAFU WANAWAKE WENGINE??
mie huyo kimada anayekaa kwenye nyumba ya mwenzie bila aibu simuelewi hata kidogo.
bora umwambie wewe ndo ataelewa
wewe naona ndio hauendani na kisa!
hebu pata hio halafu ukalale!
Bora hata ulivokataa 'kutengua kauli' kwa bibie wa nairobi, hapo si ajabu huyo mbaba amekudanganya.... who knows, mana hiyo ni tabia yao ya asili, usije jikuta wajiingiza kwenye dhambi ya uwongo usiokusudiwa.
Hongera kwa ujasiri wa kuibuka kwenye kikao mamiiiiii...