Mkuu salama
Crocodiletooth kwa ushauri tu mbuzi wa pacha wale asili ni ngumu kdgo kupata kutokana mabadiliko y. maisha lakni mbuzi ni wazur san asikwambi mtu.
Unachotakiwa kama una lengo la kuanza na mbuzi 20-30 hakiki ni wale ambao hawajawahi kuzaa au walio zaa mara 1,pia mdume mawilh hata ukipata chotara haina shida.
Pia mbuzi huwa hapendelei maji sana ikitoke kwa bahati tu.
Kuhusu mabanda unaweza ukateneneza kwa mbao au masanzu lakini yale ya mbao ni mazur sana.
Karibu ndugu
0623297330 kwa maelezo zaid