House Boy
Senior Member
- Apr 7, 2018
- 103
- 91
Wanajukwaa mambo vipi?
Kuna company tulifanya interview kama wiki tatu zilizopita, juzi kuna baadhi ya wasailiwa walipokea jumbe kupitia barua pepe zao kuwa AHSANTE KWA KUSHIRKI mean hawakufanikiwa.
Ila wengine hadi leo hatujapokea email ya aina yoyote.
JE MKEKA UMEKAAJE HAPO?

)