Tukupe wewe?Haya ndiyo madhara ya kupeana vyeo kupitia vimemo na kadi za chama! Matokeo yake ndiyo haya sasa.
Mtanipa mimi nisiye na kadi ya chama chenu, na pia nisiye toka kwenye koo za wenye chama chenu siyo!!Tukupe wewe?
Wanakua wamekubalianaHii nchi hakuna kesi ya serikali ikashinda.
Hao wanasheria sijui mawakili ni kama wanakomoa.
Wauze tu kila kitu.
Sembe leo kilo ni 2000, mchele kilo 3000, maharage kilo 3600. Maji hakuna kabisa, umeme mgao mkali.
Tumeshapoteza mwelekeo.
Walamba asali hata hawajali wao wanaendelea kulamba tu.......Hii nchi hakuna kesi ya serikali ikashinda.
Hao wanasheria sijui mawakili ni kama wanakomoa.
Wauze tu kila kitu.
Sembe leo kilo ni 2000, mchele kilo 3000, maharage kilo 3600. Maji hakuna kabisa, umeme mgao mkali.
Tumeshapoteza mwelekeo.