mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Wana JF leo asb wakati naangalia TBC kipindi cha Maswali cha Bunge,mbunge wa Musoma mjini (Nyerere)aliuliza serikali imejipangaje kutatua tatizo la madawati nchini
Jibu likatoka kuwa serikali inatambua tatizo hilo na ipo mbioni mwaka huu kulimaliza,akasimama mama mmoja simkumbuki alieliza la Nyongeza mahala watakapopata fedha,ikaonekana zile za Rada zitatumika kutengeneza Madawati ya shule za msingi na sekondari...