Fedha za Rada kununua madawati Nchi nzima

mgeni wenu

JF-Expert Member
Jan 2, 2012
3,664
1,730
Wana JF leo asb wakati naangalia TBC kipindi cha Maswali cha Bunge,mbunge wa Musoma mjini (Nyerere)aliuliza serikali imejipangaje kutatua tatizo la madawati nchini
Jibu likatoka kuwa serikali inatambua tatizo hilo na ipo mbioni mwaka huu kulimaliza,akasimama mama mmoja simkumbuki alieliza la Nyongeza mahala watakapopata fedha,ikaonekana zile za Rada zitatumika kutengeneza Madawati ya shule za msingi na sekondari...
 
Pumbafu kabisa, eti madawati kwasababu hela zitakuwa untraceable eti eeh, subirini muone timbwili la ijumaa
 
Wananunua madawati wakati majengo ya madarasa yanadondoka?? :A S-coffee:
 
Tunataka hatua za kisheria kwa ufisadi huu siyo siasa,mbona hata za epa walisema zitaenda kwenye kilimo lakini mpaka sasa hazijulikani zilipo??kwa hili la madawati litaaminika vipi??
 
Yani madawati yapatikane baada ya pesa iliyoibiwa kurudishwa?
Kwanini hakuna pesa hizo towards elimu hadi ziibiwe na kurudishwa?
Hii ina maana kuwa hawataki kutumia pesa kwa maendeleo ya wananchi, hawafai kabisa hawa watu!
 
Hivi zile za EPA zimefanyia nini hadi leo? Au ndiyo zimerudishwa kwa mkono wa kushoto na kuchukuliwa tena kwa mkono wa kulia wa mtu yule yule? Ama kweli ukistaajabu ya Musa...........................
 
Hizo ni ndoto za abunuasi.zitapelekwa kwenye kampeni ya 2015
 
Pumbafu kabisa, eti madawati kwasababu hela zitakuwa untraceable eti eeh, subirini muone timbwili la ijumaa
mchanga hizo avatar zenu zinatuondolea umakini bwana. du, yaani hata sikuelewa hii thread inaeleza nini. nashauri uchangie kule kwenye mapenzi na mahusiano ili vioane.
 
Kwa mujibu wa chombo kimoja cha habari hapa Uingereza ni kuwa document ya malipo kutoka BAE inasainiwa mweiz huu na baada ya siku 14 mshiko huo ungelipwa kwa Watanzania. Baadhi ya Wazungu wakatoa maoni kwa kejeli kuwa hizo fedha zitawekwa alafu zitarudi kwenye akaunti za Ulaya kwa sababu ya Ufisadi wa viongozi wetu. Mwingine kasema ana wasiwasi kama hizi fedha hazitaishia Ikulu japokuwa yeye katumia neno la (President's Palace) Kama kuna mtu anataarifa kuhusu kusainiwa hii document na mwenendo mzima wa malipo haya Tanzania atuhakikishie. Pia wazungu hao wakapiga dongo kuwa " Si kampuni ndogo tu ambazo hucheleweshewa malipo yao bali hata tu - nchi tudogo kama Tanzania hucheleweshwa" Link hii hapa kuhusu kusainiwa uko. Maneno yenyewe haya hapa
[h=1]BAE Systems pays Tanzania compensation after two years[/h][h=2]It's not just small companies that have problems getting paid on time, small countries do too. [/h]
neemacrafts_2038032c.jpg
The compensation deal with Tanzania (above) has been dogged by political problems ever since BAE agreed to pay it two years ago.







By Jonathan Russell

7:08PM GMT 01 Feb 2012
comments.gif

2 Comments


Two years since BAE agreed to compensate Tanzania for the £30m air traffic control system it sold the country, and a year since the deal was rubber-stamped at Southwark Crown Court, the arms manufacturer is to pay up.


A question in the House of Commons by Labour MP Hugh Bayley has revealed that BAE is to expected to sign a memorandum of understanding with the Government of Tanzania this month about the £30m payment.

The full sum will become due 14 days after the document is signed.


The compensation deal has been dogged by political problems ever since BAE agreed to pay it.

After being found guilty of false accounting the company set up a panel to determine who should receive the money. Political pressure led BAE to consult the Department for International Development to mediate the payment.


Signing the £29.5m cheque will bring to an end an unhappy period in BAE's recent history. Corruption probes on both sides of the Atlantic saw the company pay fines of nearly £300m.

Serious Fraud Office director Richard Alderman welcomed the news saying he was "looking forward to the speedy resolution of this matter".


BAE Systems pays Tanzania compensation after two years - Telegraph

Mweiz huu huu wadau fuatilieni na tupige kelele na ikiwezekana fedha hizo serikali imalizane na Madaktari
 
Wangoje uchaguzu wa Arumeru upite ndo wazilete!
Au ziwekwe kwa special account ambayo itakuwa monitored na hao hao wanaotupa ili kila senti iwe na justifcation.
Maana izi report za kamati ya Cheyo jana 1.5billio(mafuriko kilosa)n leo twaambiwa 25bill(wizara ya utalii) zimetafunwa nachelea kusema na izo watu watazila
 
Muganyizi nimecheka sana.......kwamba wazungu wanapond....kwa kwlei huwa wanaponda nsana hasa ukzingatia kuwa mkuu wa kaya huwa wanamdharau sana
 
Afadhali zije Mkuu wa kaya apate Nauli za safari, nadhani ataugua huu mwezi ukiisha hajasafiri
 
Afadhali zije Mkuu wa kaya apate Nauli za safari, nadhani ataugua huu mwezi ukiisha hajasafiri

Hii ya safari za Mkuu Kali.
binafsi sizihitaji hizo ela kwani hata zikiingia Leo, hakuna yeyote atakayejua zimetumikaje....utasikia tu ooh! Tumeziingiza kwenye mradi wa malaria. Siku chache baadae utasikia tu ooh! Kuna ufisadi umefanyika kwenye mradi wa malaria. Yaleyale.
 
Ni kwamba leo hii tarehe 21/2/2012 Rais Kaenda Uingereza hayupo niliwaeleza hili muda mrefu lakini mkauchuna leo hii ohhh rais Kaenda Uingereza.
 
Back
Top Bottom