Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Siku hizi gazeti la Mwananchi limekuwa la bavicha?Bavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Tegeta secondary wewe unajua ya naniHivi huwa hamuoni mnatenda dhambi za uongo? Ccm inamiliki shule wapi? Mwogopeni mungu wenu ndugu zangu mn siasa za kinafki zitatupeleka pabaya.
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??chanzo: gazeti la Mwananchi Leo 20/11/2016
Hii nayo ni miongoni mwa miundombinu ya serikali?
Hapa kazi tu
chanzo: gazeti la Mwananchi Leo 20/11/2016
Hii nayo ni miongoni mwa miundombinu ya serikali?
Hapa kazi tu
Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Kwani nalo limekuwa kama UHURU na MAJIRA?Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??
Kama hujui chochote bora unyamaze!Tumeshachoka na hizi habari za kagera na tetesi za uongo muda wte, ukifatilia utakuta cyo kweli...hiyo hela si ni kwa ajili ya maafs kama shule iliharibiwa na ipo ile sehemu hata ikiwa ni mtu binafsi kwa nini usikarabatiwe? Sitetei uozo ila Hii sasa imekuwa too much.
jibu hoja sio kutokwa povu tuBavicha mtazeeka kwa wivu na roho mbaya
Na hiyo shule wanasoma watoto wa wana ccm tu?...nieleweshe kwa hoja cyo kwa ushabiki wa vyama.Kama hujui chochote bora unyamaze!
tusiliamini kisa limeandika usichopenda kusikia?Inakuaje mtu na akili zako unaliamini gazeti la Mwananchi? Kama ni habari ya kweli, hiyo shule wanasoma kina nani? Chadema hamuwezi pata kura za wananchi kwa mtindo huu maana mnaponda hii ila wananchi huko wanapeleka watoto wao kwenye hiyo hiuo shule, point mmapata wapi hapo??