Fedha za kichawi kumbe zipo

Nilitokea Mwanza nilikuwaq nimekaa na kijana wa miaka kama 26 hivi akaniuliza, kaka samahani nilikotok maisha ni magumu sana hivyo watu wamenishauri nijiunga na shirika la kimataifa la freemason, aakawa anaulizia contact zake ili ajiunge na atajirike sasa unafikiri watu hawatumii uganga kutafuta utajiri?
 


mkuu mbona tanzania kwa sasa hakuna kampuni ya shell?
Kwenye alama nyekundu sijaelewa vizuri mkuu
 
Huku Simiyu ndo mpango mzima!

Wasukuma wa Ntuzu (Wanyantuzu) ndo zao hizo, bila kwenda kwa mganga hakuna biashara. Ila masharti yake sasa usiombe. unaweza kuambiwa umtoe kafara mke wako, mtoto wako au mmoja wa wazazi wako. Jamani ujinga utatumaliza sisi mazombie!! Anayekuahidi utajiri yeye anaishi kwenye lindi la umaskini, sasa kama angekuwa na uwezo na utajiri si angeanzia kwake kwanza? Yote haya yanafanyika kwa kukosa kwetu maarifa!!
 
Ni namna ya kukuvuta tuu ikishaibngia line utashangaa unapoambiwa umtoa kafala mmoja kati ya zawazi wako au wanao ndo utakapotia AKILI
 
huyo mganga wake ni bilionea kiasi gani? au ndo anamiliki ule mnara mferu dubai? akili za kuambiwa changanya na zako, huyo mganga mwnyewe masikini wakutupwa, akupe wewe hela ndugu azitoe wapi?
 

Sasa hapa vipi... UNAHUTUBIA KWA KIINGEREZA KWA WATANZANIA AMBAO SI WAONGEEAJI WA KIINGEREZA
 
"Kuna wanawake wengine wazuri bhana..ntavunja masharti bure ...'
 
Hizi Ni story tu..hamna utajiri wa namna hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…